Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakimbizi wa Afrika Kusini waliokuwa wakiishi pale Mazimbu Morogoro kuna wengine walibahatika kuzaa na watanzania baadaye walipopata uhuru walirudi kwao Sura hiyo wengine mtakuwa mnaikumbuka pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania poleni sana kwa kuondokewa na kipenzi cha Watanzania na ambaye ni Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa. Nimekuwa naufutilia Msiba huu toka ulipotokea na kuwaona Viongozi...
1 Reactions
6 Replies
745 Views
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye Siasa za Bongo Kutoa Heshima: Mbowe na Zitto Kuweka maua: Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz Kutoa Salam: Mbowe Siasa ni mchezo fulani hivi so tusiwe...
1 Reactions
6 Replies
821 Views
Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa. MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais. Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT...
1 Reactions
0 Replies
462 Views
Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi...
15 Reactions
79 Replies
5K Views
Katika kuitikia wito wa RPC wa Dodoma wa kulisaidia jeshi la polisi ili kurahisisha kukamatwa watu wasiojulikana waliomshambulia Mh Tundu Lissu , Gazeti la MwanaHalisi limemnukuu dereva wa Lissu...
76 Reactions
814 Replies
119K Views
Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wengi waliwahi kuhoji kwamba ni lini mzee Lowassa alilitumikia Jeshi la Wananchi. Leo Serikali umesema Lowassa ana Nishani ya Vita ya Kagera.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Askofu Dr Malasusa amesema katika ushuhuda mwingi wa Edward Lowasa ni pamoja na kuwa ni Mtu wa Ibada " Wengi hawajui Kuwa mama Regina Lowassa ni Mkatoliki kweli kweli hata jana Padre amenipigia...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Jaribu kupitia vyanzo vya umeme wa tanesco kama ilivyoambatanishwa na andiko hili ili kujua panapovuja ni wapi. Vyanzo vikuu ni kutokana na maji na gesi lakini gesi ndiyo inayoongoza. Vituo vya...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani. Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha...
9 Reactions
10 Replies
908 Views
Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni...
5 Reactions
10 Replies
675 Views
China na Tanzania zimetia Saini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 25 wa kujenga miundombinu ya Uhifadhi kwenye Hifadhi ya mamlaka ya Ngorongo ikiwemo Ngorongoro-Lengai Geopark. Miongoni...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom