Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Aliyekuwa katibu wa Rais mstaafu ndugu Dkt Abdallal makame amesema ya kuwa mzee Alli Hassan Mwinyi Rais mstaafu wa awamu ya pili ,Anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakubwa zangu, nawasalimu. Natumai mu wazima wa afya. Naomba niwaulize wakuu zangu wanaJF... Huwa naona humu mara nyingi sana watu wakiongea kuhusu "Lumumba Buku 7". Je, hii ni ajira rasmi...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
John Magufuli, the late president of Tanzania, made significant investments in the country's ports during his time in office. He saw ports as a key driver of economic growth and development, and...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Unaweza kuwadharau lakini ukweli utabaki ukweli kwamba Chadema inafufuka Nilichoshangaa ni kuwaona kwenye Maandamano Makamanda original Wote akina Prof Lwaitama, akina BAK, Dr Slaa nk. Mimi na...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukisikiza maelezo ya Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba kuhusu matumizi ya Fedha Yako clear na yenye hoja lakini ukisikiliza maswali na maelezo ya Wabunge walio wengi ni weupe kichwani. Kwamba...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaji Ali Hassan Mwinyi anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua akiwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari bingwa...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa Kamati hiyo imewataka Chadema...
3 Reactions
103 Replies
6K Views
Wanabodi, Jumapili ya leo, naendelea na mada zangu za kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura. Natoa tena samahani kwa kuanza ni kichwa cha habari cha matukano, kuwa sisi Watanzania...
8 Reactions
31 Replies
5K Views
Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani.. Bila shaka Arusha, Manyara na...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwema Wakuu, Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana...
9 Reactions
23 Replies
997 Views
Hili ni Suala la Tofauti Tu - Siyo Chuki Na. M. M. Mimi Mwanakijiji Wao wana haki ya kumtaka Lowassa kama Rais wa Tanzania; na sisi tunahaki ya kumkataa Lowassa kama Rais wa Tanzania. Wao wana...
78 Reactions
303 Replies
23K Views
Wanabodi, Wale wa longi kama mimi mnaweza kukumbuka yale mazungumzo ya amani ya Burundi yaliyokuwa yakisimamiwa na Mwalimu Nyerere mjini Arusha, kila siku mazungumzo yalikuwa hayafiki mwisho kwa...
19 Reactions
66 Replies
11K Views
Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne...
3 Reactions
6 Replies
792 Views
MASWALI MAGUMU KWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASA Kwako mh. Edward Lowassa, Ni matumaini yetu kuwa u mzima wa afya. Kuelekea mchakato wa Urais mwaka huu tumesikia kuwa nawe baba utatangaza nia. Sisi...
18 Reactions
98 Replies
18K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Nimefuatilia Hotuba za viongozi karibu wote wa CCM na serikali wa sasa na wastaafu, sijasikia hata mmoja anayesema kwamba Lowassa aliwahi kuhamia Chadema na kugombea Urais kupitia Chama hicho...
25 Reactions
118 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia. Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi. Alikimbizwa jana katika...
17 Reactions
166 Replies
36K Views
TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia...
20 Reactions
65 Replies
8K Views
Back
Top Bottom