Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukisikia usanii ndio huu sasa. Umeme ni wa mgao kwasababu inasemekana watu washafungulia maji huko mtera japo Mama na Tanesco yake wanadai ni service ya mitambo. Mama kawapa Tanesco miezi 6, kwa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Wizara ya nishati tangu naijua na kuisikia sijawahi kuona ikipewa waziri mtaalamu wa umeme, watu wa electrical engineering au power systems engineering. Tofauti na Profesa Muhongo ambaye angalau...
1 Reactions
10 Replies
603 Views
Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola. Ngurdoto imerudi. JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine...
20 Reactions
88 Replies
11K Views
Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa...
34 Reactions
84 Replies
6K Views
Edward Lowassa ameibua mjadala muhimu sana kwa taifa letu, hasa ikizingatiwa kwamba taifa linakabiliwa na uhaba mkubwa wa rasilimali kazi, hivyo ni muhimu tukafanya maamuzi juu ya wapi tuweke...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Mapambano ya kuufuta umasikini uliokithiri katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara yanaendelea siku hadi siku yakiwa na mipango na mbinu mbali mbali, nchini Tanzania almaarufu nchi ilioko...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona...
1 Reactions
119 Replies
10K Views
WANANCHI wa kata ya Uru Kusini wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha upatikanaji wa hudumu za afya baada ya serikali kujenga kituo cha afya ha kisasa Kukamilika kwa kituo hicho...
2 Reactions
8 Replies
595 Views
Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) tangia kilipoanzishwa,Kilikuwa na utaratibu mzuri tu.Kila aliyeteuliwa alikuwa akiheshimu madaraka ya mwenzie na pia kulikuwa na ustaarabu wa kutokimbilia ovyo kwa...
0 Reactions
3 Replies
620 Views
Mjumbe wa kamati kuu na mgombea urais mwaka 2015 ndugu Edward Lowassa, amewasili makao makuu ya Polisi saa nne kama alivyoambiwa na DCI. Lowassa alikuwa amefuatana na Magari manne ya kwake pamoja...
37 Reactions
604 Replies
88K Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema...
5 Reactions
14 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu, Hii Wizara imekuwa Mwiba kwa kila Mtu alokanyaga ndani kuiongoza. Haijamuacha salama.Leo nimeona niongelee hili swala ili kuweka kumbukumbu sawa. Ntaomba michango ya...
2 Reactions
27 Replies
12K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash. Hili...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja. Doto anahangaika na Unaibu waziri...
1 Reactions
5 Replies
620 Views
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom