Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru. Lakini leo zao la korosho kwao...
0 Reactions
15 Replies
789 Views
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa...
1 Reactions
0 Replies
549 Views
Dkt. Slaa amesema iko kwenye rekodi kwamba pale Mwembe Yanga alisema Lowassa ni fisadi Lakini yeye ni Padre anayetakiwa kuiponya roho ya Lowasa hivyo hana Tatizo lolote na Lowasa Dkt. Slaa...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Ingependeza Zaidi kama wabunge wote wangemuaga aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni hayati Lowasa Kwenye Viwanja vya Bunge kama walivyomtendea Shujaa Magufuli Kamati ya Maridhiano...
2 Reactions
4 Replies
469 Views
Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi? Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi...
1 Reactions
66 Replies
2K Views
Leo nimefanikiwa kukutana na Page ya NMB PLC kule Facebook, NMB Sasa wameamua kufungua akaunti kwa TZS 1,000 tena bila makato ya mwezi hii ni dalili ya uchumi wa nchi kukua kwa kasi nakuzifanya...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Nimeona picha Kwenye magazeti na huko X kwamba Mwanza Wananchi wanapanga foleni kununua sukari Hii ni kweli au ni propaganda za maandamano ya Chadema? Mfungapo Msiwe kama Wanafiki😃
4 Reactions
33 Replies
1K Views
"Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Hatimaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme, Mambo tayari huko 🔥🔥🔥 Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba ======= Picha: WAZIRI wa Nishati, January Makamba Serikali...
3 Reactions
145 Replies
9K Views
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda, Rita Mlaki amesema family yake na family ya Edward ni Marafiki tangu wao wakiwa Wadogo hivyo wamecheza na kukua pamoja Rita amesema wameendelea Kuwa pamoja Serikalini...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Edward Lowassa limekuwa jina kubwa sana katika siasa za nchi hii kwa muda akihusishwa na kutafuta kuikalia ofisi namba bila mafanikio mpaka anaondoka duniani. Lowassa amekuwa mjadala mkubwa...
2 Reactions
19 Replies
991 Views
MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Hadi mwezi Desemba 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 87.47 ikilinganishwa na shilingi trilioni 74.75 katika kipindi kama hicho mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 17.0. Kati...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kumeibuka kundi la wanaojinasibisha na kutamba kama Marafiki wa hayati Edward Ngoyai Lowassa wakati huu ambao ameaga dunia wakileta simulizi za kuashiria wakati wa uhai wake alionewa...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
Ziara za Makonda zimebainisha kwamba Mahakama sio chombo Cha kupata Haki Kwa maskini ambao hawana pesa sana sana itahalalisha dhuluma kwao. Kiufupi Makonda anasema Mahakama inauza Haki Kwa wenye...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau kama Mtakumbuka Mara baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa alitangaza kuwa anataka atumiwe orodha ya Petrol stations zote nchi nzima. MAKAMISHA wasaidizi wa Ardhi Mikoa yote...
1 Reactions
1 Replies
535 Views
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia. Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa...
8 Reactions
11 Replies
643 Views
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na...
1 Reactions
1 Replies
576 Views
Rais Kikwete amesema rais ajae atakuwa bora zaidi na anatamani muda wake uishe haraka akachunge ng'ombe. RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo unaotumika Tanzania ambako Rais anatumikia nafasi...
1 Reactions
121 Replies
11K Views
Back
Top Bottom