Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi hapa Tanzania.
Wagombea walikuwa ni wengi lakini wakubwa walikuwa ni MH Lowasa na Magufuli. Nilishangazwa sana na kauli za mh Kikwete kuwa CCM Wana uhakika wa...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee,
“TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu...
Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakipiga kelele kuhusu mkataba unaoitwa wa kinyonyaji wa Richmond.lakini jambo la kushangaza ni kuwa Tanesco imeingia mikataba ya kinyonyaji mingi tu na mingine...
Ni katika kuitafuta haki, kuondoa fitina, majungu au habari zisizo na mshiko na za kusadikikasadikika.
1. Ufisadi wa Richmond ukoje? Je tunaupembua kama rushwa, kukiukwa sheria & taratibu za...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema msafara mkubwa sana wa Viongozi na Wanachama wa Chadema uko njiani kuelekea Mwanza tayari kabisa kwa Maandamano ya kesho
Picha zitawajia...
Wakuu heshima kwenu.
Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi...
Asalaaam Aleykum Warrahmatullahi Wabarakattuhu.
Ndugu Wa Tanzania.
Ndege ya Rais Ndugu John Pombe Magufuli imetinga Geneva Uswisi masaa 24 yaliyopita.
Commander in Chief (NDUGU MAGUFULI) kama...
Rais amefanya teuzi zifuatazo:
1. Dkt. Thomas Nestory Bwana kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
Kabla ya uteuzi huu Dkt. Bwana alikuwa Mkurugenzi Msaidizi...
Tofauti na zamani nilivyokuwa nadhani nimekuja kugundua kuwa wanasiasa wa Tanzania nao wanakariri maisha kama vile mwanafunzi wa kidato cha kwanza anavyokariri masomo shuleni. Ni wazi kwamba...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA: BILIONI 182 TU ZIMETOLEWA KATI YA BILIONI 732 WIZARA YA AFYA, FEDHA HAZIPELEKWI KWA WAKATI
"Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa...
Poleni Watanzania wote kwa MSIBA MZITO wa Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa Mungu ampe Pumziko la Milele EDO kwa Maumivu yote aliyopewa na watu wake wa Karibu ktk uhai wake.
Ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini...
Naona kuna wito unatolewa kwa CHADEMA na baadhi ya watu kuwa chama hicho kisitushe maandamano hayo ya kudai haki kupisha maombolezo ya kifo cha Edward Lowassa.
Wanatumia kigezo kuwa Lowassa pia...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam...
Tunaposema hayati Lowassa alikuwa Mtu wa pekee kabisa hapa Tanzania muwe mnatuelewa
Waliomdhihaki leo wanapiga Magoti na Kusujudia Jeneza laki
Basi baada ya Yesu Kristo kukata roho yule Akida...
Naanza kuamini kuwa nilikuwa sahihi zaidi kumpatia kura yangu ndugu Edward Lowassa.
Kwa hali ya sasa kule Zanzibar, mgogoro wa umeya Dar na Tanga, uamuzi wa "mr. Wakukurupuka" wa kuwatimua...
"Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike"
"Lakini katika...
Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.