Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowassa angeendelea Kuishi. Chegeni amesema Lowassa hakuwahi kuwa...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla; Na kwa kuzingatia michango ya...
2 Reactions
15 Replies
724 Views
Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu...
20 Reactions
46 Replies
3K Views
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na...
16 Reactions
94 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati. Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza...
2 Reactions
5 Replies
648 Views
Update14 February;baada ya mwezi kuanza kuranguliwa wananchi sukari.. Je mkoa ulipo sukari kilo shs ngapi?!! Hoja kuu: Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa...
37 Reactions
69 Replies
4K Views
Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio. Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika Mwili wa...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao...
16 Reactions
53 Replies
6K Views
Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa ufupi; ##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa...
23 Reactions
140 Replies
9K Views
Wanaccm wote wamesema kuanzisha Shule za Kata ni Ubunifu wa Lowasa Basi tumuenzi kwa kuziita Shule za Lowasa Kwa mfano Shule ya Lowasa Mtakuja Kunduchi
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu...
19 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Watu 14 wanaodhaniwa kuwa Raia wa Burundi wamekamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Manyara wakiwa wanafanyakazi kwa Mbunge huyo.
1 Reactions
123 Replies
30K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Hatimaye Beberu USA ameirejesha tena Tanzania kwenye mpango wa kufaidi pesa za ruzuku(grants) kupitia programu ya "Millennium Challenge Corporation" -MCC ambapo...
8 Reactions
105 Replies
5K Views
Naomba ufafanuzi juu ya hili swala la deni la taifa. Hivi kuongezeka kwa deni la taifa Kuna athari kwa nchi au wananchi?
1 Reactions
3 Replies
545 Views
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki. Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema...
36 Reactions
223 Replies
15K Views
Maandamano DSM ilikuwa hususani kupinga miswada ya sheria ya uchaguzi kuendelea bungeni lakini iliendelea. Mwanza CHADEMA 15/2/2024 tunaandama kwa lipi?
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Hello mwanaJF kila ninapopata nafasi nitakujuza mambo ya hovyo ambayo hufanyika serikalini na wengi wetu hatufahamu. Wengi tunafahamu zaidi kuhusu matokeo na sio chanzo. Wengi wetu hudhani kwamba...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom