Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huu hapa ni Mkutano wake wa leo wa kuwaanda wananchi wa Tunduma kwa ajili ya Maandamano Matukufu yatakayofanyika Mbeya
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Siyo kwamba nampinga au namkubalia Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu bali kauli yake inatafakarisha sana Tundu Lisu anadai kwenye Bunge Maalumu la Katiba kuna Watu waliandaliwa...
0 Reactions
15 Replies
708 Views
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama...
13 Reactions
88 Replies
8K Views
Kumekucha Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba Lissu anasema wakati wa...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa...
10 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari Wadau, Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa Soma...
9 Reactions
87 Replies
5K Views
Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama. Tofauti ya Kikwete na Magufuli. Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe...
18 Reactions
71 Replies
7K Views
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme. Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao...
21 Reactions
104 Replies
3K Views
Kufuatia kauli ya Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Tanzania na Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania Mh Tundu Lissu, kwamba tukio la kupigwa kwake risasi kulikuwa ni mpango wa mauaji ya...
12 Reactions
90 Replies
9K Views
Wanajamvi, Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi. Kampuni ya pili ni Integrated...
38 Reactions
463 Replies
88K Views
Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Upinzani una wabunge 25 kati ya...
13 Reactions
69 Replies
6K Views
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk Mawaziri niliowataja...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Mzee Bwege mbunge wa zamani wa CUF, anaumwa na amekatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti. Natoa wito kwa wadau wa jf na wengine...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Hapo Mbeya ndio alitokea mbunge aliyepata Kura nyingi kuliko Wabunge wote wa Tanzania mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Hapo Mbeya ndio Shujaa Magufuli alishuka kwenye Gari lake na kumpandisha mbunge...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom