- Vua Nahodha
- Hussein Mwinyi
- Saada Mkuya
Mnatoa hoja kwa utulivu na mna-stick to the point!
Asanteni kwa Kutuwakilisha waZanzibar - Kasheshe Kutoka Bububu
Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri...
Habari wadau.leo nimemsikiliza kama wa dar hakika sijamuelelewa na kama tungekuwa na uongozi makini alipaswa kutenguliwa mala moja. Sijuhi elimu yake lakini ni aibuuu ni bora asingejitokeza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,-MZIGO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,- SIJUI
Waziri wa Nchi...
Ni rahisi kumnyooshea waziri kidole pale wananchi wanapolalamika lakini mchango wa waziri katika matatizo unapimwaje?
Tunapima watendaji kwa kauli za wananchi au baada ya kutathmini mfumo...
Naibu waziri ( Tamisemi) Dr Festo Dugange aliyepata Ajali ya gari na kuvunjika kidole miezi 3 iliyopotea leo amerejea Ofisini na kupokelewa kwa tabasamu na tashwishwi na Watumishi wa Wizara
Mungu...
Mtu akikuuliza ni miradi gani ya Maendeleo Inayotekelezwa na Rais Samia Tanzania,jibu lake ni rahisi sana.
Miradi ni countless na unaweza itaja vizuri Kwa kuangalia Mkoa mja baada ya mwingine...
Salaam,Shalom!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi anazoandika Mtoto wa Mwalimu, Ndugu Andrew Nyerere. Kuelewa anachokiandika au kukisema, unahitaji akili ya ziada kutafuta Maarifa ya kufungua...
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya...
Habari Wakuu!
Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)
Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani...
Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake.
Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria.
Mamia kama si maelfu ya...
•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema.
•Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata...
Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema
"Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na...
Hawa wabunge wanawasemea wananchi gani huko bungeni?
Au wana taifa lao siyo hili la Tanzania?
IQ ya wabunge hawa ipoje,kuna vitu ni vipaombele kwa sasa vinaumiza wananchi.
Unazungumzia vazi la...
Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema,
"Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024"
CHADEMA...
Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana !
Kailoga bila huruma kabisa !
Kwa mwenye akili, ni dharau kubwa mtu akakuita akasema anataka kuusikia ushauri wako, kumbe mtu huyo alikwishafanya maamuzi yake tayari. Kwa hiyo ushauri wako kwake inakuwa ni kukupotezea muda kwa...
Hawa wote wameongoza taasisi ambazo malalamiko hayakomi dhidi ya Taasisi hizo. Badru amwewahi kulalamikiwa sana kuhusu utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Huyu amekuwa akilindwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.