Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naibu waziri wa Viwanda na biashara Mhe. Ashatu Kijaji alifanya ziara kutembelea baadhi ya Viwanda vya sukari na alitembelea kiwanda kilichopo mkoani Manyara ambapo alikuta kimesitisha uzalishaji...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi ambayo wanasiasa wa ngazi zote awalipi kodi kwa mapato yao. Hakuna diwani, mbunge wala waziri anayelipa kodi nchini. Wote wametunga sheria za kujiwekea kinga. Wabunge na mawaziri...
5 Reactions
10 Replies
818 Views
Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa. Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa...
1 Reactions
2 Replies
305 Views
UKIPEWA MADARAKA FANYA KAZI, LETA UBUNIFU, TATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI, ACHA KUWASAGIA KUNGUNI VIONGOZI WENZAKO Na Comrade Ally Maftah Nitakuwa wa kwanza kuumgana na Ndugu Paul Makonda ( Katibu...
2 Reactions
7 Replies
645 Views
Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
10 Reactions
173 Replies
21K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Katibu wa itikadi , uenezi na mafunzo wa CCM Taifa siku ya jana akihutubia ma elfu kwa Malaki ya wananchi mkoani katavi amewajibu kwa...
13 Reactions
136 Replies
6K Views
Nimemsikiliza vizuri Katibu mwenezi wetu wa CCM. Comred Paul Makonda akiwajibu washambulizi wake kuwa usomi wao usitumike kututesa bali utusaidie kutatua changamoto zetu za kila siku. Kauli hii...
2 Reactions
8 Replies
483 Views
Hakuna mfumo wa serikali mtandao unaotoa huduma kwa wakati. Mifumo yote inasumbua na ipo slow sana. Kwa wataalam wa TEHAMA mtakubaliana na mimi kwamba kadri mifumo ya serikali ya TEHAMA...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick. Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule...
28 Reactions
79 Replies
5K Views
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio . Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia. watangazaji...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano. Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili. Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar...
20 Reactions
165 Replies
10K Views
Salaam, Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015. Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea...
0 Reactions
14 Replies
654 Views
Niwapongeze viongozi wa halmashauri Kasulu kwa msimamo wao. Nimpongeze kipekee yule Afisaa Uhamiaji kwa kusimama imara na kuhakikisha hatoi tamko mbele ya Makonda kuhusu Uhalali wa Uraia wa...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi? Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Ujumbe kutoka mdau huko X (formerly Twitter) kwa mheshimiwa Rais na jinsi Mwenezi anavyo mdharau kwa kutenda bila kufikiri kama asemaye "atanifanya nini". SOMA: special letter to her excellence...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna Wakati nikikaa Najiuliza hili swali Je ni kwanini Tulidai UHURU? Binafsi nilidhani Tulidai UHURU ili TUENDESHE na TUJISIMAMIE MAMBO na MIPANGO yetu kama Watanzania lakini ninachokiona sasa...
1 Reactions
6 Replies
353 Views
Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025. Kila wakati...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Tofauti na vyama vingine vya Upinzani hawa Chadema wanaamini katika.Mungu wa mbinguni, hawanaga Ushirikina kabisa Kwa mfano niliona clip Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani Zanzibar akiwa Kigoma...
2 Reactions
8 Replies
476 Views
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu...
16 Reactions
137 Replies
9K Views
Back
Top Bottom