Haraka haraka kwenye mada,
Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga na kulitetea Taifa letu na chama chetu Cha...
SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,
TAREHE 31 DESEMBA, 2011
Ndugu Wananchi;
Leo tunauaga mwaka 2011 na...
Uwezo ni pamoja na kuwa huru kufanya mahojiano bila kuyakatisha au kuahirisha.
Nakumbuka wakati Rais Mkapa anaokwenda kufanya kipindi/mahojiano pale Hard Talk BBC na pale ndio nilielewa faida ya...
RAIS wangu Samia Suluhu Hassan, kwa unyenyekevu mkubwa mama yetu mpendwa, leo ni siku yako ya kuzaliwa. Keki zimekatwa kila mahali nchi nzima kukusherehekea. Hongera sana Rais Samia kwa miaka...
1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu...
Nawatakieni Nyote Jumatano yenye Baraka
Tunasubiri Ujumbe kutoka kwa Mtumishi wa Mungu wa mbinguni Tundu Antipas Lissu
Ahsanteni Sana 😂
Ahsante bwashee Tindo
Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo.
Ndio ameanza kuandaliwa taratibu...
Kwa mara ya kwanza nilimuona Bwn.Joseph Kasheku (Msukuma) akiwa kwenye kipindi cha siasa Star TV, akatambulishwa kama Mwenyekiti wa CCM Geita.
Sikumtilia maanani sana kwa kuwa alijaa majigambo...
Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Amar ameihoji Serikali ina mpango gani wa haraka kuzuia utekaji unaoendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
Miongoni mwa matukio matano ya watu kutekwa na kutoweka...
Naunga mkono hoja ya Mbunge,ni aibu hii Serikali ambayo haijigunzi Kwa makosa ya awali.Just imagine DaRT imewashinda na inapata hasara, daladala za mtaani zinapata faidia,Sasa kuuza mkaa ndio...
Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024...
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.
Tutarajie siasa za hoja, na sio za...
Itoshe kusema kwa muda sasa tangu kuondoka kwa aliyekua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siasa za Tanzania zilipoteza mvuto.
Zile shamrashamra za kufatilia shughuli za kisiasa ziliisha...
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi...
CHADEMA ya sasa inazidi kuwa goigoi japo mpira uko upande wao ila gori hawalioni wafunge gori, iwe makusudi au kwa bahati mbaya.
Kazi anazofanya mwenezi wa mbogamboga ndio kazi ilitakiwa kufanywa...
Serikali kupitia wizara ya Fedha inaomba maoni yako kuhusu vile unatamani sheria za kodi kwa mwaka ujao wa fedha ziwe.
Kipi kiongezwe, kipi kiondolewe kodi, kipi kipewe unafuu wa kikodi etc. Toa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.