Zamani,wakati wa Awamu ya Kwanza vijana wa Kiislamu walimshambulia Mama Sophia
Kawawa,wanamwambia ajihadhari. Mama Sophia Kawawa alikuwa amesema dini ya Kiislamu inawaonea wanawake. Wale vijana...
Rukwa.
Raia mwema amepigilia msumari kuhusu madai ya CDF ya wahamiaji haramu kuingia Nchini Kwa kumtuhumu Kigogo wa idara ya uhamiaji Mkoa wa Rukwa ambae amekuwa akiratibu na Kuendesha gange la...
Hivi ndivyo diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia inavyoleta matunda.
Kituo Cha uwekezaji Tanzania TIC kimesema Kwa miezi 3 ya mwisho wa mwaka yaani Octoba Hadi disemba kimesajili miradi yenye...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.
https://www.youtube.com/live/SYTvPYLNpNk?si=ZxFlRBcsLo7LLqGU
Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa...
Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo.
Angalia madini kama...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha (kilo ya sukari tsh 6000) pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Jijini Arusha , Maandalizi yake...
Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃.
Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe...
Mahakama yatengua makubaliano yaliyorejesha mali ya Ushirika serikalini
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyohalalisha mkataba wa makubaliano baina ya Serikali...
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa...
Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema...
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
Hata kama mambo yaliyoorodheshwa katika ile thread ya mwanzo yanaweza yakawa sio sahihi kwa 100%, lakini sio ya kuyapuuzia. Ni mambo mazito sana yanayokabili taifa letu na yanapaswa kupewa uzito...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , mapema asubuhi ya leo Jumanne tarehe 6 Februari, 2024 amefika katika ofisi za Manispaa ya...
Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini.
Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo.
Gari Hilo linafanya...
Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani?
Akisema au akitaja basi...
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo...
Hiyo ndio Hali iliyotokea huko Nsimbo Mkoa wa Katavi Kufuatia Mkuu wa Wilaya Kuruhusu Wananchi Walime Shamba lenye Mgogoro Kwa ahadi ya kuwalinda lakini hawakulindwa na kupelekea Kukatwa katwa...
"Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali...
Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.