Siasa za Bongo Safi sana yaani Ukiona mtu anaumia au kufa kwa hizi Siasa ujue Huyo ni bwege mtozeni
Leo DC wa zamani huko Hai amemtambulisha baba mkwe wake Mzee Nassari Kanisani Eberneza mkoani...
Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali.
Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia...
Wananchi wa Ikombe kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya wamemkabidhi Meneja wa TANESCO wilayani humo Kibatali ikiwa ni ishara ya kuachana na matumizi ya mafuta ya taa na umeme wa wa jua...
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye...
Kichwa cha thread kinajieleza kiutoshelevu kabisa
Wabongo ni Watata, Wabishi, Wajuaji, Hawaambiliki nk...nk
Ruzuku ni ya Chama cha Siasa wewe Bwashee Retired Huko Msambweni Tanga Unawashwawashwa...
Kufuatia kuibuka kwa mjadala wa ruzuku za vyama vya siasa kufuatia kauli ya Makamu mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Kinana aliyonukuliwa akisema CHADEMA wamechukua ruzuku ya shilingi za kitanzania...
Tunaishukuru Serikali kwa kusikia kilio cha Wananchi na hatimaye kuweza kuagiza sukari toka nje ya nchi kufidia upungufu uliojitokeza. Ninaishauri Serikali kuwa sukari yote iliyoagizwa kwanza...
Mwenezi wa CCM Paul Makonda ameendelea kukiwasha huko Katavi akisema ccm haitavumia Wala kukubaki uzembe wa viongozi au Watendaji wa Serikali ambao hawatimizi wajibu wao na kwamba hawako tayari...
HERI YA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM
Historia inaturudisha nyuma tarehe 5 Februari, 1977 baada ya kuungana kwa Vyama vya Tanganyika African National Uniona (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania...
Samahani Kamanda Tundu Lisu nimekusikia ukisema kupitia Maridhiano mlikubaliana Kesi za Mchongo zote zifutwe na wewe binafsi umeshafutiwa Kesi 6
Ndio nauliza Kesi ya yule dogo Sanga ni miongoni...
Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa:
1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa.
2. Police...
Waswahili walisema msafiri alikiri "mwenda pole hajikwai" alaa akijikwaa haanguki na kama akianguka kuumia kwake ni kidogo tu.
Usemi huu ni matokeo ya uzoefu wa safari ndefu ya maisha ya babu...
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amemtaka Afisa Madini Mkoa wa Katavi, Mhandisi Andrew Mwalugaja kuhakikisha anafuata sheria na taratibu za kuhakikisha utoaji...
Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa 2024 na 2025, inaonekana Kuna mbinu ambazo Samia amezitumia ili kushinda huo uchaguzi.
1. Strategy ya kisheria, Muswada wa Tume Huru ya Uchaguzi feki:
Ili kupata...
KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema...
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.