Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nchi yetu inakuwa Kwa kasi, Ujenzi wa Makazi, Biashara,Viwanda. zinaongezeka Kila kukicha, Tunashukuru Mungu.Viongozi wetu wanapaswa kwenda na kasi hiyo katika mipango yao. Miaka michache ya...
6 Reactions
14 Replies
960 Views
Yani kubadilisha jina kutoka tume ya taifa nec, hadi tume huru ya uchaguzi, ndio wanatuaminisha, teari washarekebisha, matatizo ya tume, kwa kubadilisha jina, kwahio hapo ndio teari mapungufu ya...
2 Reactions
7 Replies
486 Views
  • Redirect
Kwa Hali ya umeme nchini kwasasa na udhaifu wa serikali hii. Magufuli utabaki kuwa shujaa na mahiri katika mioyo ya Watanzania. 1. Umeme Shida 2. Sukari Shida. 3. Wenye pesa wanafanya chochote. 4...
13 Reactions
Replies
Views
Hii idaraya maji inashida Gani?? Nimeona Leo tbc habari
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu...
1 Reactions
5 Replies
597 Views
Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
3 Reactions
15 Replies
692 Views
Nawapongeza Namibia Kwa kuziba Pengo la ombwe la madaraka punde tuu baada ya kifo Cha Rais Huge na hivyo Kuzuia ombwe la madaraka na sintofahamu.👇👇...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma. Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu. Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
1 Reactions
14 Replies
898 Views
Nakumbuka Maneno yake pale madhabahuni alisema " Najua tunaiendea Kwaresma nawaomba Sana msiache Kufunga na Kuomba mimi sitaweza kufunga ila naomba mniombee" Mungu wa Mbinguni endelea kumtunza...
14 Reactions
31 Replies
1K Views
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
4 Reactions
13 Replies
625 Views
Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakati wananchi tunahangaika kupata mahitaji yetu muhimu mh. Kinana anahangaikia kura za uchaguzi mdogo wa mwaka huu! Kwake nchi na wananchi hawana matatizo yoyote ya mahitaji yao ya kila siku...
1 Reactions
10 Replies
910 Views
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu. Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashauri wameanza kuwaita watumishi wa umma kwenye kumbi za Halmashauri wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao 2025 Taarifa za kutoka Halmashauri...
1 Reactions
9 Replies
803 Views
Nadhani kuna haja ya vyama pinzani kujifunza sana kutokaa kwa chama tawalaa ili wawe na mafanikio makubwa mbeleni. Mfano, nimekutana na wamama wa hali ya chini kabisa wanakimbia wakiwahi mkutano...
1 Reactions
4 Replies
257 Views
"Unapaswa kufanya vizuri kwa ajili Watanzania, wanastahili kilicho bora. Wanastahili mfumo wa haki unaofanya kazi, wanastahili mahakama huru, wanastahili mahakama itakayolinda katiba, wanastahili...
3 Reactions
3 Replies
370 Views
Nimemsikia Kinana kila jambo hata lililowekwa kisheria anasema Mhe. Rais kafanya.....naomba wataalam wa sheria watusaidie; Ruzuku ya vyama vya siasa utolewa na Rais? Kwa sheria gani inayompa rais...
0 Reactions
1 Replies
404 Views
BASATA MSAMEHENI NEY WA MITEGO HAJUI MAMBO MENGI NI WA KUELIMISHWA. Na Thadei Ole Mushi. Tuanze na Mstari upi kwenye amkeni? ngoja tuanze na huu👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 “ Hata ripoti ya CAG hakuna...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom