Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
ANACHOTAFUTA LISU NI KUKIMBIA NCHI KAMA KAWAIDA YAKE. Na Thadei Ole Mushi. Utulivu wa Akili utakusaidia kuelewa, Mihemko, Hasira na Ukada utakufanya kutokuona jambo hili la kiuchunguzi...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Kiongozi akitaka kujiuzulu anapaswa kumpa taarifa Boss wake kwanza badala ya kukurupuka kwenda kutangaza kwenye Vyombo vya Habari huku akitoboa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Ubungo tunahitaji mtu Msomi kama wewe Professor. Dira ya Taifa Lazima uizindue ukiwa Waziri Mkuu 2030, Kassim Makam. Inshallah
0 Reactions
13 Replies
790 Views
Habari wanaJF. Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe. UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha...
1 Reactions
5 Replies
737 Views
Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi. Sababu...
25 Reactions
109 Replies
7K Views
Amani kwenu Members wote. Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru. Ile sehemu...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
WanaJF Salaam! Maji hufuata mkondo wake - Rais wa awamu ya pili wa JMT alijizaa mfano wake. Hussein Ally Hassan Mwinyi (Rais wa sasa wa nchi ya Zanzibar) ni kiongozi shupavu na mwadilifu sana...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Kuifanya akili igome kukumbuka tulikokuwa tumefika kama nchi, tukasahau masuala ya shida ya umeme, huko kunaitwa ni unyanyasaji wa mfumo ubongo, na anayekataa tusikumbuke ni aidha yeye ndo mchawi...
2 Reactions
4 Replies
451 Views
Awamu ya sita ilianza mwaka 2021 baada ya Rais magufuli kufariki. Ilianza kwa mbwembwe na huku mambo yakionekana yanaenda. Kwanini kadri siku zinavyo kwenda , mambo yanazidi kuzorota? Watalaam...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari. Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi...
18 Reactions
135 Replies
5K Views
Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
TANESCO wanahitaji kutusikia tunavyowafanyia rating ya huduma zao. Toa neno moja linaweza kuwaondoa pale walipokutana. Mimi neno langu nikuwaomba wafanyakazi wa TANESCO waache kusema WANASIASA...
2 Reactions
14 Replies
583 Views
Polisi hawajawahi kuchunguza ni nani alimshambulia Tundu Lissu tarehe 7/ 09/ 2017 pale Dodoma. Wanatoa kisingizio cha kipumbavu kuwa mpaka wampate Dereva wa Lissu ambaye yuko Ubelgiji. Kwa namna...
29 Reactions
121 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania, Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa ,Nguli wa sheria ,mwanamke jasiri na msomi wa sheria kuwahi tokea kutoka nyanda za juu kusini na Rais Wa umoja wa Mabunge Duniani...
4 Reactions
144 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,nyota ya matumaini,simba wa nyika, komandoo wa vita, mama...
17 Reactions
149 Replies
6K Views
Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa...
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Nimemsikia Katibu Mkuu wa Chadema pale Upendo TV akitishia kuwaambia Wananchi hatua za kuchukua endapo maoni ya kwenye Maandamano yao hayatafanyiwa Kazi Nimejiuliza,, hivi kuna mwananchi wa...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Kinana amesema badala yake...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Wimbo wa taifa unakuwa mzuri sana pale unapoelezea historia ya taifa husika au unatoa sifa za kipekee za nchi au unapokuwa unahamasisha uwajibikaji/ call for action kwa taifa au vyote vitatu kwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa sasa NMB ni benki inayofanya vizuri zaidi ikishindina na CRDB na kuziacha benki nyingine kwa mbali sana. Hii yote imewezekana kwa sababu ya uwekezaji uliotokana na kubinafsishwa kwa sehemu ya...
1 Reactions
4 Replies
438 Views
Back
Top Bottom