Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimeshangazwa sana na MAKADA wa CCM kuhoji RUZUKU ya CHADEMA ya BIL.2.7 fedha ambazo kwa CCM ni pesa ya MBOGA tu .CCM inapokea zaidi ya mara 10 ya RUZUKU inayopokea. Na CHADEMA na hakuna hata...
6 Reactions
12 Replies
861 Views
ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi...
3 Reactions
6 Replies
795 Views
Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Tunguu kimekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kumwita Mwaakilishi wa Jimbo hilo kwaajili ya kumhoji kwenye kamati ya maadili Akizungumza na wasafi...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
Wakuu heshima kwenu Naomba nielezee mada yangu kwa maneno machache Sana naamini inaeleweka Kwanza nikiri kwamba serikali Ina mchango wake kidogo Sana katika mafanikio ya MTU binafsi. Ila sehemu...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
Bunge linaendelea Dodoma lakini vyombo vya habari vimeziba masikio kuhusu kinachoendelea. Sometimes hata zile sekunde za taarifa ya habari hazigusi yanayojiri bungeni. Je, bunge limeshuka...
3 Reactions
13 Replies
847 Views
Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani. Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka...
0 Reactions
4 Replies
738 Views
(1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee Ona hiyo attachment hapo chini.
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni. Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu. Tumesikia...
16 Reactions
134 Replies
5K Views
Paul Makonda baba Keagan tafadhali tunaumizwa huku. Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo. Leo...
1 Reactions
7 Replies
673 Views
Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Nielekee kwenye mada. Naona mambo yanaendelea na joto linaendelea kukolea. Katika chama cha Mapinduzi kile kiitwavyo uhuru wa kugombea utaleta doa kwa wale wasiokubaliana na Mama. Wanauhuru...
1 Reactions
4 Replies
502 Views
Hakuna umeme, Ugumu wa maisha, vijana hawana mategemeo ya future yao, Ubadhilifu na wizi serikalini na mashirika ya umma, na pamoja na yote hakuna kabisa kabisa ubunifu katika kuondoa mikwamo hiyo...
6 Reactions
9 Replies
697 Views
Sasa kumbe mambo ya Twitter aka X sio kweli bali tunapigana fix? Hivi ni nani mtunga hizi tungo tata aliyefeli namna hii kuigiza? Apelekwe Bagamoyo akapigwe refresher course kidogo. Sent from...
1 Reactions
3 Replies
482 Views
Tanzania needs a new president from 2025 for a number of reasons, including: •To address the country's economic challenges. Tanzania's economy has grown steadily in recent years, but it still...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Boniface jacob anasema: CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake. Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi...
10 Reactions
107 Replies
8K Views
MSAKO ulioanzishwa na Rais John Magufuli wa kutokomeza tatizo la wafanyakazi hewa katika utumishi wa umma, umeendelea kuibua mazito, ambapo mkoani Kilimanjaro, Benki ya CRDB imejikuta ikitoa mkopo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Hili ndilo linalohalalisha uwepo wa madarakani - kwani kila kitu kinasemwa kimefanywa na Rais Dr. Samia. Ikitokea mkawa na Rais asiyejali watu, anayetisha tisha watu, watu wanapotea, analinda...
0 Reactions
4 Replies
465 Views
Back
Top Bottom