Polisi arusha,wameendelea na upuuzi wao,wamemshikilia kwa muda mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha,kwa tuhuma za kuchochea vurugu,tarehe 5,,lakini hatimaye aliachiwa,na ataunganishwa kwenye kesi...
WanaJF,
Nimejaribu kujikumbusha ili nione kama kuna lolote la maana ninaloweza kumsifu jk kwamba ametekeleza katika kuwaletea wananchi wake maendelo lakini mpaka naandika thread hii bado...
Jamani wakati wa kampeni humu kulikuwa na watu kama malaria sugu na wengineo kibao wanamtetea mkwere kuwa ni kiongozi anayefaa......na kura za JF zilionyesha wazi CDM kitashinda ijapokuwa haikuwa...
Mbunge wa Igunga achunguzwe na kufukuzwa bungeni kutokana na kuanzisha makampuni ambayo wamiliki wake hawajulikani au wamekufa na utata mzima wa kampuni za Dowans, Richmond etc. Credibility yake...
Wana JF nimeshukiwa na roho Mtakatifu punde tu, baada ya kutafakari kwa miezi kadhaa kuhusu hali ya nchi ilivyo. Nimepewa ujumbe Muhimu sana kukuleteeni Watanzania.
Kwa kuwa nchi inaendeshwa...
Jamani wa jf naomba tueleweshane hapa. UVCCM wanamtaka JK kuchukua maamuzi magumu katika masuala ya kitaifa. Mtanisamehe kama nitakuwa sikuelewa tamko lao. Lakini swali la msingi hapa ni hili...
Kwa mujibu wa takwimu za uchaguzi wa 2010 zilizotolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC), watu 20,398,394 wamejiandikisha kupiga kura Tanzania.
Hata hivyo, watu 8,626,283 tu walijitokeza kupiga kura, sawa...
nimepata CD mbili kutoka source tofauti ambazo watu wamefanya compilation ya matukio ya Arusha kuanzia maandamano, mahakamani, na mazishi. inaonekana ni clips zilizochukuliwa kutumia vyombo mbali...
WanaJF
Huu ni wakati muafaka kwa umoja wa vijana wa chadema kutoa tamko kali juu ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuunga na kupinga baadhi ya hoja za UVCCM. Pia kukemea hali ya ubaguzi wa...
Wana JF
Kitendo cha CCM kuwapinga viongozi wa dini ambayo wamepinga dhambi iliyofanywa na CCM katika mchakato wa kupata meya wa Arusha na mauaji ya makusidi ya Arusha ni kuingliza kazi yao...
MWENYEKITI wa Chama Cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema kitendo cha serikali kutaka kuilipa Kampuni ya Dowans ni sawa na ujambazi na kwamba Mungu ameitumia kampuni hiyo...
Ile kesi ya viongozi wa chadema pamoja na wanachama kukusanyika kinyume cha sheria,imepigwa kalenda hadi tarehe 22.2.2011"watu walikuwa wengi sana kuonyesha soliidarity forever,,,
wanandugu,naomba kuuliza, mbona Rizwani hakuwepo kwenye kikao cha jana cha UVCCM wakati wanatoa tamko? yeye hausiki au amekacha ili kumstahi muheshimiwa, maana walichofanya vijana kama kuikashifu...
Kutokana na tamko la UV-CCM na hoja zifuatazo
a) Kutaka Kamati iliyo-ongozwa na Mwakiembe ijiuzulu
Masikini UV-CCM ile kamati ilikuwa ya bunge na haikuwa ya Mwakyembe..mwakyembe hawezi...
utandawazi wawezakuwa niukoloni kama wazamani. Nawkoloni iliwaondoke nilazima kuwe nawatu watkaodhubutu kama walivyofanya akina NYERERE,NKWAME, LUMUMBA na wengine wengi wa Afrika. Kifanyike nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.