Viongozi katikati waliokaa M/kiti Tawi UK MAINA OWINO kulia mwenye kofia ABRAHAM SANGIWA Katibu wa shina jipya Luton na kulia M/kiti shina jipya Luton ALBERT NTEMI na Wliosimama toka kulia mwenye...
NOWADAYS, most women chose to keep their maiden names and not take on their husbands surnames when they get married, it may have become a fashionable thing to
keep our names or even use both...
Ndugu zangu wanaJF,
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la ufunguzi wa matawi ya ccm nje ya nchi kama vile UK, URUSI, n.k. Sikumbuki kama hali hiyo ilikuwepo enzi za wazee wetu...
Habari watanzania wenzagu,
wahenga walisema kwa mpiganaji kurudi nyuma si kushindwa vita bali ni kujipanga tu.hawa C.C.M. wajanja sana aise maana wanaendeleza haya maneno yao ya kebehi ilimradi...
Dear Moderator,
Allow me to convey my heartly felt sorrow to one of our misinformed brother who launched accusations towards our Christian brothers in this forum and he seems not to acknowledge...
Mnyika ubunge sio kujitolea pesa, haiwezekani kuleta maendeleo kwa kutoa pesa. Kinachohitajika ni mbunge mwenye uwezo wa kuikaba serikali itumie kodi ya wananchi kuboresha elimu...
Katika mdahalo wa wagombea urais 2010 mmoja mmoja, JK alisema anataka watanzania wamkumbuke. Mwandishi alimuuliza wakukumbuke kwa lipi? hakuwa na jibu. Mimi nina cha kumkumbuka
1. Rais mtalii...
Wana JF:
Leo ndiyo ile siku ya hukumu ya kesi ya Mzee wa Vijisenti -- ile kesi ya traffiki. Watakaokuwa mahakamani tunaomba watujulishe mambo yatakavyokuwa katika thread hii maalum..
Asanteni.
Waziri Kombani, ameshindwa kabla hajaanza
Samson Mwigamba
NIMEKUWA nikijitahidi sana kutoa ushauri kwa watawala (si viongozi) wa nchi hii kutokana na kile ninachokiona huko mbeleni. Ushauri...
Africa has experienced few continuing hours where a single country has two presidents who have each proclaimed to have power over the nation. Its an ambigous situation where outgoing president...
Huko Bukoba dau la umeya lilifikia 3-5 mil kwa kura. vigogo wakatafutana madiwani we gi wa CCM walifichwa Chato hotelini. Wachache walionekana wakitokea asubuhi ya jana kwa Mh Mbunge na vitita...
six peoples who are said to be impoRTANT kenya figures including journalist,government officials,senior political figure where named as suspects who took part on 2007 kenya post elections...
Magazeti yamepambwa na habari hii.............
Gazeti la Uhuru lina kichwa cha habari kisemacho...............Umeya Dar: Dr. Massaburi aibuka kidedea......................
Huku gazeti la...
WanaJF, Habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a...
Utawala bora uko ICU nauombea Quick Recovery,
kwenye ajali ya maadili viongozi wetu wamepata Serious Injury (ies),
wanabishana kuhusu katiba mpya kama ndo wako age ya ....,
makusudi wanapindisha...
Nimesoma katika post hii
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/95475-zitto-ahusishwa-na-rostam-aziz-mwanahalisi-19.html#post1378647
kuwa gazeti la mwanahalisi linasema kuna maongezi ya...
Ni bora aliyesema madini hayaozi bora tuyakalie....... Hawa wa sasa inaonekana wamesahau kwamba madini haya yanakwisha hayatakaa milele...
Hii naifananisha na mzee wako (Mungu) amekupa mtaji...
Nimekuwa nikishangazwa sana na kauli (ninazoweza kuziita kebehi) za washabiki wa CCM humu JF au kwenye chombo kingine chochote cha habari wakiwatuhumu CDM kwa msimamo wao juu ya matokeo yaliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.