Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika hatua ya kushangaza kabisa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameahirisha uchaguzi wa Meya. Katika Halmashauri hii CHADEMA ina madiwani wengi zaidi ya CCM na nafasi ya Meya na Naibu...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Hivi kweli tunatimiza miaka 50 tangu tupate uhuru hatuna umeme. hii ni aibu kubwa kwa taifa. Nijuavyo Tanzania inaruhusu haya mambo ya Independent Power Production ndio maana tulikuwa na jamaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuwa kuna mgawanyiko mkubwa kati ya madiwani wenye asili ya mji huu na wasio na asili na mji huu kiasi cha kwamba shutma mbali mbali zinatuptwa kuanzia za rushwa mpaka hizo za toka kwa wenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika idara ambazo hazibahatiki kuwa na watu wanaozifuatilia na kudhibiti utendaji wake hapa nchini ni idara muhimu zaidi kwa watu masikini, wanyonge na dhaifu katika jamii kuliko zote-Idara ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JK AKIFANYA VITU VYAKE JUKKWANI.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna matumizxi mabaya ya Fedha zetu, PAYE zetu, kodi zetu, mirahaba yetu Jk anaendeleza Tour nje saivi ashenda Belgium,Egypt & Zambia sasa waziri wa mabo ya nje anafanya kazi gani??? Naona JK...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari nazopata toka mwanza ni kuwa kikao cha kumchagua meya wa mwanza kimevunjika baada ya kutokea purukushani kati ya madiwani wa ccm na chadema...more to come
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Mwandishi Wetu Mkakati wake wa kwanza ni kuivuruga UVCCM Akifanikiwa ataanza kupanga safu uongozi Wazazi, UWT Awaita Dar kimya kimya wenyeviti wa mikoa wa UVCCM WAZIRI katika...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna mtu ana taarifa zaidi kwenye kimbembe cha mayor kwenye mji wa Arusha? Najua kidogo kwamba kulitokea mvutano mkubwa kwenye kikao.
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Hi there, can we discuss the issue of ethnic groups in higher learning institutions and several organizations. Cku hizi kila mahali kuna chama cha kabila fulani. Hii c kwamba tunajigawa kimakabila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
It's Christmas! Time to make merry and share the joy with friends! “I wishing you all Merry Christmas”
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Kanisa Katoliki lagoma kuzika Imeandikwa na Peti Siyame, Sumbawanga; Tarehe: 14th December 2010 @ 08:00 KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Katiba mpya...katiba mpya...katiba mpya!! Neno katiba siku hizi limekuwa kama wimbo flani unaotamba kwa wakati flani. Sasa limenijia swali hapa. Je tukishaipata hiyo katiba mpya tunayoililia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila...
0 Reactions
43 Replies
14K Views
Ndugu wana jamii nimeamua kuleta hii topic kwenu baada ya kuangalia kwa kina tatizo la mrundikano wa watu hasa kwenye ma benki yetu hapa nchini. Siku moja nilikua benk ya NBC pale makambako Iringa...
0 Reactions
27 Replies
18K Views
Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM lina habari kuu leo isemayo.....NEC: Gazeti latumika kupandikiza uchochezi................... Habari hii imekuja baada ya gazeti moja linalosadikiwa kuwa ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Zakia alipongeza Uhuru kufanikisha ushindi wa CCM Thursday, 09 December 2010 20:14 newsroom NA MWANDISHI WETU MJUMBE wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wanaomfahamu samweli luangisa aliyekuwa meya wa Bukoba kwa zaidi ya miaka 20 hatimaye amebwagwa na Bw Anatory Aman katika kinyanganyiro cha kugombea kupitria CCM Luangisa aliwahi kuwa mkuu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika nchi inayoendeshwa kifisadi watu waliopewa dhamana za uongozi utumia nafasi hizo kujineemesha wao wenyewe kwa maamuzi yasiokuwa halali. Hata hivyo ingawa maamuzi hayo yanakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu baadhi ya maamuzi ya SISIMU likiwemo lile la kumtema Samwel Sita bila sababu za kimsingi, Kuwatema baadhi ya walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom