Aliyekuwa spika wa bunge lililopita mh samwel sitta amedai yeye kukosa nafasi ya uspika ni hila za mahasimu wake wa kisiasa na wale wasiolitakia mema taifa hili,pia amelihusisha jambo hilo na...
Gazeti la Jambo Leo la leo lina kichwa cha habari kisemacho.........."Mkapa, Bomani na Prof. Shivji wasiwe mawakala wa Slaa"
Swali la kujiuliza hapa ni hivi harakati za kutaka katiba mpya...
Kama kawaida yangu, mimi ni mjasiriamali, na biashara yangu ni kuuza chocho au kusaidia kuuza chochote ili mradi mnunuzi na mnunuaji wanaridhika na maslahi ya hiyo biashara.
Katika pilika zangu...
Tunaona Jinsi Gani JK Anachofanya Tanzania na Tutajiuliza Anavipata Wapi? Zimbabwe na Tanzania Inauhusiano Mkubwa Sana Hasa ZANU-PF na CCM. Ukiangalia Uchaguzi wa Tanzania Ulivyoendeshwa ni Sawa...
Nimefika Arusha mida ya saa 10 jioni ya leo. Kawaida yangu huwa nanunua magazeti 3 kila Jumapili, mawili kati ya hayo ni Mwananchi na Tanzania Daima, naweza kuvumilia kukosa Taznania Daima lakini...
Wakuu kulikoni mama yetu mpendwa, Salma Kikwete, kutokuonekana hadharani mara baada ya JK kuapishwa? Si kawaida yake kutokuonekana majukwaani, kulikoni?
Baadhi ya viongozi wetu wakubwa wamekuwa wasuluhishi wa migogoro kadhaa nje ya Tanzania. Mingi ni ile itokanayo na migogoro baada ya uchaguzi.
Raisi Kikwete alisha alikwa Kenya kusuluhisha...
Mbunge Chadema apigwa na polisi Send to a friend Sunday, 19 December 2010 08:36 0diggsdigg
Moses Mashalla, Arusha
UCHAGUZI wa Meya na Naibu wa Manispaa ya Arusha umechukua sura mpya baada ya...
mimi ni msomaji sana wa issue za jamii forum, ila sipendi kucomment, ila nimefika sehemu nimekubali kuwa watanzania wapo katika tabaka tatu kwa sasa, kuna wadadisi( hawa wanajua kuchambua mambo na...
Dear fellow citizens,
We appeal to you to hep us collect more signatures from the people who don't have access to a computer at home/internet, we kindly ask you to download the attached file/PDF...
Kurugenzi ya mambo ya Nje ma Mahusiuano ya Kimataifa ya Chadema imeitaka serikali kulaani hadharani matukio ya uvunjaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya kidemokrasia ya kimataifa...
Watanzania Waliosimami Uchaguzi Wanasema Hadharani JK Hakushinda Kwanini Tunamwacha Anendelea Kukaa Ikulu? Tuache Kuwa na Uogo na Kukubali Kubuluzwa Kila Siku. Hawa CCM Wanangalia Joto la Nchi na...
Pombe ni bonge la waziri.
Mandela Road panachimbika.
Inapigwa lami kama ile ya Nyerere Road wanakopita mafisadi na misafara.
Sambamba na hilo, nguzo za taa mpya za barabarani (kama zile za...
Kuna mambo mengi sana yanayowachefua Watanzania sasa. Harakati zilizoendeshwa ili kutusaidia kupata uhuru zililenga kumkomboa Mtanganyika kuondokana na umaskini, ujinga na maradhi.
Leo hii...
Kwa wale waliobahatika kununua gazeti la Tanzania daima la leo Jpili tar
19 dec-2010. Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya siasa hasa za chama cha Chadema,
ukifungua ukurasa wa 12 [jahazi la Jpili]...
Dr Slaa, Tundu Lissu, Marando, Mnyika, Mdee, nyie ni viongozi wetu, na wananchi wengi
sana country wide depend on you, u r public voice, sauti ya wanyonge, sasa hadi sasa sijasikia mkipinga...
19th December 10
Constitution has no religion or political party-it belongs to all of us
Prof Chris Maina Peter
The cry for a need of a new Constitution in the United Republic of...
High Speed Trains (Je ni kweli tunahitaji flyovers kwa watu wa mijini wachache au tuinvest kwenye Train zenye Kasi kwa manufaa ya nchi nzima?) (abiria na mzigo ili kuleta ufanisi katika usafiri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.