Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
tunasikia tu, Liganga/Mchuchuma iron core deal investor kweka up to tshs 10 trillion, je mkataba nani anujua? mbona mambo ya siri za mikataba bado ni kitendawili? na hapa wana sema 50% serikali na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
WATANZANIA... WAKOLONI WALIANZA KWA KUTUIBIA AKILI ZETU NA NDIPO WAKAFUATISHA KUIBA MALI, MPAKA LEO HII WENGI WETU HATUJAJITAMBUA, TUNADHANI YOOTE YATOKAYO ULAYA BADO NI MALI. TUNADHANI BADO...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeona kumekuwepo na kundi la askari polisi kuelimishwa jinsi ya kuendesha shughuli za kipolisi bila kuathili shughuli za kisiasa!nikiangalia kwa undani na gundua polisi hawaja elimishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Government signs more Richmond-type contracts TWO COMPANIES AWARDED NEW POWER GENERATION DEALS UNDER CONTROVERSIAL CIRCUMSTANCES AS THE NATION IS GRIPPED BY YET ANOTHER ELECTRICITY CRISIS...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
vituo vilitawaliwa na zoezi la madiwani hao kuapishwa baada ya baadhi ya madiwani kushindwa kuapa na mwingine kujaza fomu yake kwa kutazamia kwa diwani mwenzake hadi jina. source: Diwani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dk. Slaa aizidi ujanja CCM na Moses Ng'wat, Mbeya WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM), kikimnyemelea Mwenyekiti wa Chama cha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Zanzibar from a sovereign nation to a region of Grand Tanganyika(Tanzania)- a step back-ward. Baada ya kutembelea hizi sites, kwa hakika sasa ninaelewa kwa nini ndugu zetu wazanzibari...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutengua uamuzi wa kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando na kurudishwa kazini. Akizungumza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Okay, I think we are making some progress here... We have forced government's hand, and now Prime Minister Mizengo Pinda has decided to come out and reiterate the need for a new constitution: "I...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani eti ni kweli kuwa Chadema wamemuhujumu Zito ,niliona kwenye gazeti baada ya kutoka kwenye karamu ya chadema alikimbizwa hospitali na hivi sasa nahisi yupo Ujerumani kwa ajili ya matibabu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
3 tipped for CJ post Send to a friend Saturday, 18 December 2010 23:31...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
  • Closed
Bila kuuma uma maneno, ni ukweli usiopingika kuwa kanisa limetoa mchango mkubwa katika kuifikisha CHADEMA hapa ilipo leo hii. Umaarufu wa CHADEMA uliongezeka mara dufu kufuatia kanisa kutoa...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
  • Closed
Kama inavyojulikana kote, CHADEMA na Dr. Slaa (PhD) walishinda katika mikoa ya ziwa, kaskazini, kusini na magharibi. Walileta upinzani mkubwa sana kwenye mikoa ya kati na wakamalizia kwa ushindi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KATIKA kipindi kifupi tu cha sehemu ya pili ya mwaka 2010 eneo la Tabata Shule 'limezawadiwa' kwa hisani ya chama tawala na serikali yake baa zaidi ya 10. Na baa zote hizi hivi leo zinakuwa ni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kanisa katoliki limetolea ufafanuzi suala la kutengwa kwa baadhi ya waumini wake kwa sababu zinzohusiana na matukio ya uchaguzi mkuu ulipita. Leo majira ya saa 4 asubuhi wakati wa ibada ya misa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wazeiya eti ni kweli Batilda Burian ndio RC wa Arusha?!:behindsofa:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amesema kuwa atawasilisha bungeni hoja binafsi ya kutaka mabadiliko ya katiba na kupinga moja ya mapendekezo ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda la kuunda tume ya kuangalia...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
UCHAGUZI wa Meya na Naibu wa Manispaa ya Arusha umechukua sura mpya baada ya kuibuka vurugu zilizosababisha Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, kukamatwa na Jeshi la Polisi...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
Mwenyekiti wa CCT, Askofu Peter Kitula amesema tatizo la udini lilianza mwaka 1986 na hakuna kiongozi wa serikali aliyejitokeza kulikemea badala yake Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilizidi kufanya...
0 Reactions
161 Replies
15K Views
Kamarade, Waberoya & Co. Mumebugi mtindo wa kuanzisha chama chenu cha Kigoma United Front. Mwamchukia Dr. Slaa kwa sababu ya wivu na ubinafsi. Mwamchukia Freeman Mbowe kwa sababu ya wivu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom