Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habar ya jamvini wajameni?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shibuda bado anaonekana ana genes za kijani kichwani mwake.
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wazee, Nimesikia kwenye dodoso za magazeti kwamba tariri ya gazeti la Mtanzania inapinga namna uchaguzi wa Meya Arusha ulivyoendeshwa kihuni kwa kuhusisha vyama viwili tu vya ccm na TLP na mbaya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bonyeza Sorce chini Arusha yapata meya wawili
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Habari zenu wadau, naamini mko poa. Naomba kwa yeyote anayefahamau mahali ninapoweza kupata vitabu vya JK na Dr. Slaa anifahamishe tafadhali. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sitta: Nilitemwa uspika kwa hila za vigogo Send to a friend Sunday, 19 December 2010 21:27 0diggsdigg Mr Samwel Sitta Tausi Mbowe WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta jana alitoa kauli...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
KAMA HATA MHE MBUNGE HAYUKO SALAMA WANANCHI TUKIMBILIE WAPI??? Kwa kitendo hiki cha ajabu (Askari Polisi Kumpiga Mh Mbunge) sana kuwahi kufanywa nchini mwetu, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI PAMOJA...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa, WAKATI wa uhai wake, Profesa Abdulrahman Babu alipata kusema kuwa ukichanja mwili wa Mwafrika basi, kwenye damu yake utaona kuna chembe chembe za mkulima. Profesa Babu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana FJ nachoshwa sana na hili shirika letu la kuzalisha nishati haba ya Umeme, vyanzo lukuki vya kuzalisha nishati ila ndo kila siku visingizi, hivi lini na kwa vipi huu ukiritimba utaisha...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Stars yaalikwa Misri • POULSEN KUANZA KIBARUA NA WENYEJI na Mwandishi wetu, NAIROBI, Kenya TIMU ya taifa soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ni kati ya timu tano zitakazoshiriki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
We need a new Tanzania, says Prof Shivji By Edwin Agola, The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania 21st December 2010 Renowned scholar and Mwalimu Nyerere Chair in Pan-African Studies, Prof Issa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amepiga marufuku matumizi ya kifisadi ya watendaji wa wizara yake kulipana posho za hovyo hovyo, kununua mashangingi TANAPA badala ya magari ya porini, kusafiri nje ya nchi hovyo hovyo. Awasuta...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Has Tanzania become an elective dictatorship? Read on what elective dictatorship entails (edited): http://en.wikipedia.org/wiki/Elective_dictatorship An "elective dictatorship" (also called...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
LONDON (AP) — A British judge on Tuesday sentenced defense contractor BAE Systems PLC to pay a fine of 500,000 pounds ($775,000) for failing to keep proper accounts of payments made to an...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, anadaiwa kufichua siri za Rais Jakaya Kikwete kwamba kiongozi huyo wa nchi asingependa vigogo serikalini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hiki chama ni kizee mno wala hakiwezi kuleta maendeleo sababu ya fikra mgando za viongozi wake kinahitaji mbadala.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Kuna yeyote ambaye anaweza kutupatia listi ya matawi ya CHADEMA pamoja na idadi ya wanachama wake. Ninaamini katika kufahamu hili inaweza kusaidia kuongeza kasi ya kufungua matawi na watu kujiunga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wachungaji hawa mimi nawatabiria Watakufa na Makanisa yao, Kwasababu hazina Kichwa wala miguu, na sijui makao makuu ya Makanisa hayo, na Kama hayapo kibiashara, sasa wanafanya nini hapa Tanzania...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amedai kipigo alichokipata kutoka kwa Jeshi la Polisi mkoani hapa, wakiongozwa na Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Zuberi Mombeji, ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom