Siku za karibuni hapa Tanzania tumeshuhudia mpatano wa kifikra katika ya taasisi fulani za kidini na baadhi ya vyama vya kisiasa. Mfano ni madai ya katiba mpya au shutuma za ufisadi dhidi ya...
Wajamani bado nipo na hang over but nimeweza kusikia hii
Kituo cha redio Triple A FM imetangaza kuwa mkutano wa chadema
Ambao unatakiwa kufanyika leo wanasema si halali
Hivyo tunatahadhalishwa...
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa...
TANESCO ni nini? EWURA ni nini? na Nchi yetu inapelekwa wapi na Taasisi hizi??
Ni hali ya Masikitiko makubwa, Uchumi unavurugika, Wananchi wanazidi kudidimia ktk dimbwi la kukosa huduma, ziwe za...
Rais, wabunge na madiwani ni wachaguliwa na wananchi, na wanalindwa na vyombo vya dola kimsingi tokana na wajibu wa kazi zao wakiwa ndio sauti za wananchi. Vyombo vya dolla vina utararatibu na...
Nina maswali mawili tu kwa leo nilyoyatohoa kwenye gazeti la wiki hii la Mwanahalisi kwa wenye mapenzi bado na Mheshimiwa huyu ambae kwa maoni yangu naona kama vile heshima yake inaanza kushuka...
Mwandishi wetu,
Arusha
JESHI la polisi mkoani Arusha, limekumbwa na kashfa nyingine, baada ya polisi wake wawili kutuhumiwa kuwateka vijana watatu waliokuwa wakifanyabiashara na kuwapora...
Wote tunajua kuwa moja ya sababu kubwa ya watanzania wengi hasa wale wenye upeo wa kiasi fulani kuhusu siasa zetu na historia ya harakati za demokrasia ya vyama vingi hadi sasa kushindwa kuamini...
Ukisikia tukio la ujambazi POLICE na FFU watafika kwenye tukio baada ya waharifu kuwa wameondoka. Ukisikia mkutano wa Chama Cha Upinzani na hasa CHADEMA POLICE na FFU watafika sehemu ya mkutano...
Habari zenu wakuu?ndugu zangu mi na maoni yafuatayo, kwa kutumia kura kamwe hatuwawezi mafisadi, pia kikwete ndio kinara wa ufisadi na kamwe hawezi watosa wenzie hivyo basi tusitaraji hukum ya...
Umaskini, Ujinga, Maradhi, Udini na Ufisadi ni maradhi ambayo amini msiamini yanaisokomeza Tanzania na kuimaliza kabisa.
Tanzania imejaliwa raslimali nyingi sana lakini ni bado ina umaskini wa...
Safari za Kikwete zakausha hazina
Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 12 May 2010
SAFARI za Rais Jakaya Kikwete nje ya nchi, tangu alipoingia madarakani, zimeligharimu taifa mabilioni ya...
Jamaani mnafiki ole aliwahi kusema jk kamanda wa kupambana vita ya ufisadi sasa hosea amenukuliwa na wikileaks anasema jk ndo kikwazo.hii imekaaje kwa olesendeka binafsi namshauri asijiite tena...
Kama ni kweli kuwa JK na IGP walikuwa Arusha siku ya tukio la mbunge wa Arusha kupigwa maana yake ni nini? Haina maana kuwa alikuwepo katika kupanga hayo yaliyotokea? Tunaweza kutafsiri vipi...
CHENGE KUFURU TUPU, AMILIKI BILIONI 25 (Kayumba hana hata mia mfukoni)
Na Saed Kubenea
WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge anaogelea katika utajiri wa zaidi ya Sh. 25 bilioni zenye utata huku...
Daily Mail
24 November 2010
BAE Systems appeared at London's Westminster magistrates court charged with failing to keep proper records relating to payments for two contracts for an air traffic...
nimepata faraja kwa mtandao wa wikileaks kuonyesha ni jinsi gani serikali anavyokumbatia watuhumiwa wakuu wa rushwa na kikwete kutokuwa na dhamira ya kupigana na rushwa.
hivi hakuna taarifa...
Wana JF, baada ya kufuatilia kwa kina comments, analysis etc kutoka kwa wana Great Thinkers, nimegundua kwamba wana JF ni zaidi ya experts katika njanja zot-(Siasa, Uchumi, Sanaa, Jamii, Utali...
[B] Jamani jana nilisikitika saana nilipokuwa nasikiliza Taarifa ya habari kupitia moja ya TV station hapa Bongo walipokuwa wakihojiana na mwandishi wa habari Ayoub Mzee toka Mahakama ya Hakimu...
Source:- RADIO 1 STEREO.
"Kikao cha kumpata MEYA wa jiji la Mwanza leo kimevunjika baada ya kutokea mvutano mkali baina ya madiwani wa CCM na Chadema ukumbini"
Kazi ya uchakachuaji haijaisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.