Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watz naona si wakati tena wa kuwa wavivu wa kufikiri na kutokuwa na muelekeo sahihi wa power ya wananchi, zidi ya taarifa za uongo juu ya mambo yanayoadhili maisha yetu na maendeleo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
msiseme msukuma nimekuwa mkabila. ila huu ni ukweli. baadhi ya indians, na hasa wale wameajiriwa kwenye kampuni za wazawa au wawekezaji wasio wahindi, hawataki kupokea mishara yao ya mwezi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Imeelezwa kuwa gharama za kuendesha kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi ni Tshs Bilioni 2 kwa uchache na hizi gharama zinalipwa na waTZ waliodhulumiwa haki zao na watawala walioamua kujitangazia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lile dukuduku la chadema kuzuiwa kufanya mkutano leo Arusha wamesharuhusiwa! Ndesamburo/Lema/Mbowe ndani ya uwanja leo:peace::whoo:WAO WANAPESA SISI TUNA MUNGU!
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hivi wajameni kwanini kusiwe na watu watakaojitolea kuwachapa risasi mafisadi? maana mahakama (sheria) zimeshindwa kuwagusa, Hosea naye anawagwaya..., kilichobaki ni sheria mkononi...maana hamna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Badala ya Tanesco kuwa na monopoly ya sole provider wa umeme Tanzania Kampuni nyingine ziruhusiwe kuprovide umeme. Kama ilivyotokea kwa TTCL... Tanesco inaweza kuendelea kuwa inalease miundombinu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimepita pale lango la Lugalo...kukuta yard kubwa sana ya matrekta....yameegeshwa kusubiri wadau wa kilimo kwanza....nikaona vema niingie nisikilizee labda masharti yako vipi nami...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona ruzuku watakayo pata chadema kama itatumika ipasavyo naamini chama kitafika mbali itumike kufungua mashina,kufika vijijini,kutoa elimu ya uraia na maeneo mengne chadema kinapata milion 200...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba ufafanuzi wa tofauti ya kimadaraka na kikazi kati ya Mayor na RC. Je kuna ulazima wa kuwa na vyeo hivyo viwili mkoa mmoja? Kwanin kisifutwe kimoja kupunguza gharama?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
• YAMO MAGARI YA WAHISANI YALIYOTOLEWA KAMA MSAADA na Betty Kangonga WAKATI serikali ikitamba kwamba imejipanga kudhibiti matumizi, baadhi ya vigogo katika wizara na idara mbalimbali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viongozi waandamizi wa Chadema wakiwemo Tumbo na Singo Benson.............wamenguruma kuwa mapendekezo ya bei mpya ya umeme yasitishwe kwa sababu ni mzigo usiobebeka kwa wananchi na chanzo cha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hadi kieleweke wamezidi kutuchezea hawa watu mkutano tarehe 5 jan 2011'hii sio tz ya mwaka 1961'
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dr,W.Slaa Kuna thread ya maandamano ya amani nchi nzima. Tafadhali ipitie hiyo thread na usome mawazo na ujumbe uliomo humo. Uone kama kwa upande wenu kama CHADEMA mutaichukua hiyo changa moto...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pole kwa wale waliodhani kwamba Tanzania ni taifa lisilokua na wenye uchungu nayo!!! Mama nako pia sehemu za kupikia vyakula vya wazungu katikati ya mji tayari vimezidi sasa tunaomba usikie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
President Jakaya Mrisho Kikwete presents a Makonde carving to the newly appointed Tanzanian goodwill ambassador for tourism Mr.Doug Pitt during a special recognition ceremony held in New York last...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimepita hapo saa moja na nusu usiku, yaani dakika chache zilizopita. Askari wa Jiji na polisi jumla hawapungui 100. Magari matano yamepark upande wa baharini yameeasha taa kumulika upande wa pili...
0 Reactions
111 Replies
9K Views
Kwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya? maana nashindwa kuelewa ni kwa nini raisi wetu apate kura nyingi namna hii the tusipate mbunge hata mmoja ina maana walichakachua kihivyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamageuzi wa siku nyingi napenda kugombea ubunge kupitia CUF mwaka 2015 jimbo moja mkoani manyara, vipi uungwaji wa CUF huko na mikakati gani natakiwa kufanya kuanzia sasa? Tuache...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
TANESCO ni nini? EWURA ni nini? na Nchi yetu inapelekwa wapi na Taasisi hizi?? Ni hali ya Masikitiko makubwa, Uchumi unavurugika, Wananchi wanazidi kudidimia ktk dimbwi la kukosa huduma, ziwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom