Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
HIVI WATANZANIA TUMEROGWA? HATUONI AIBU WATU WENGINE WAANDAMANE KWA AJILI YA HAKI YETU. SIJASIKIA KIONGOZI YOYOTE WA NCHI HII AMBAYE AMEONYESHA UCHUNGU KWA KUIBIWA NA HAWA BAE. THIS MEANS VIONGOZI...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
wana jamii huku Arusha Mgao wawa umeme unaendelea kwa kasi kubwa sana.sijui mikoa mingine kama mnapata huu mgao au ni Arusha tu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na vitendo vya watoto wa Nyerere kutumia jina la baba yako na kudai viwanja vingi msasani ambavyo si vyao. Kuna watu wengi wana viwanja karibu na nyerere na wameshutushwa kwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu jamaa kwa kweli ni dicteta na ni hatari ,kama unaweza kuisoma hii habari kwa kina basi utaiona rangi yake. Endelea...! Dk. Slaa awawakia wasioridhishwa na mgawo viti maalum By Thobias...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
AGIZO la Jaji Mkuu Agustino Ramadhan la kupatiwa dhamana kwa raia wa Afrika Kusini, mwenye asili ya Kiasia Dawid Human (48), aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na faini ya sh milioni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, amemjia juu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akimtuhumu kwa kuendeleza mgawanyiko ndani ya chama na sasa anamtaka afute...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Taarifa kwa vyombo vya Habari Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inafuatilia kwa ukaribu taarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Southwark mjini London, Uingereza kuiamuru Kampuni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana Jamvi, kwa mtazamo wangu sita ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi yake kwasababu kuu zifuatazo: -Uwezo wake kama spika kuruhusu mijadala ambayo imeweza kutishia uhai wa ccm. -Kuto...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu zangu maji ni siku ya NNE:angry: haya jatoka sijui shida iko wapi,lakini ukiletewa Bili inatisha ukingalia Bili unayoletewa na siku ambazo maji yametoka Tofauti ni kubwa sana,Tufanyeje...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The Haya people of Tanzania have been linked to one of the greatest scientific breakthroughs of all time: the advent of steel. Anthropologist Peter Schmidt discovered through the communication...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. labda wana-jamvi mtanisaidia. hivi? tangu uchaguzi ukwishe hawa ma-dokta wawili walishawahi kukutana fes to fes? kama hawajawahi kukutana, nani anamgwaya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa muda wa takribani wiki tatu,gazeti la tanzania daima limekuwa halipatikani mini kibaha sababu mtu aliyekuwa na mkataba wa kusambaza magazeti hayo haleti tena,kuna tetesi kwamba CCM wamepiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Julius Mtatiro amefanya mahojiano na gazeti la Mwanahalisi na kusema kinachomkera na kumuumiza roho ni dhana iliyojengeka kwamba CUF ni chama cha Kiislamu.Amepinga vikali dhana hiyo na kusema...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Ukiangalia Vitu Vinavyo Leak Kutoka Ndani ya Serikali ya Tanzania Tutaona Watanzania Tunatawaliwa na Watu Tofauti Nchini. Weakleak Imetoa Mafundisho Makubwa Kwamba Mabavu ya Mafisadi Hasa Wahindi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JK atabiriwa kupangua Baraza la Mawaziri Wednesday, 22 December 2010 20:50 0diggsdigg Mwandishi Wetu JARIDA la Utafiti wa Uchumi na Siasa la nchini Uingereza (EIU), limetabiri kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
GrEatThinkers, Jana sa3 usiku nilipata kutazama Channel Ten(Hamza Kasongo Hour) mjadala ulihusu Madini. Mambo yalikuwa hivi. TunduLissu: Madini si Renewable, maana yake mahali pakichimbwa na...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Kauli ya waziri mkuu Pinda aliyoitoa jana kupitia Star Tv kwamba serikali itafuata msingi wa utawala wa sheria wa dhana ya utawala bora kuilipa dowans sikubaliani nayo. Kwanza nampinga Pinda kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
New York — A string of VIPs in Kenya, Tanzania, Nigeria and around Africa could have paid thousands of dollars to three Americans liberally giving out doctorate degrees to the unsung heroes of...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika hali ya kusikitisha na kusononesha chuo kikongwa hapa nchini UDSM wanafunzi wake wanaendelea kuishi katika maisha magumu hii ni kutokana na serikali kuu na serikali yao DARUSO kutowajali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom