AGIZO la Jaji Mkuu Agustino Ramadhan la kupatiwa dhamana kwa raia wa Afrika Kusini, mwenye asili ya Kiasia Dawid Human (48), aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na faini ya sh milioni...
Jana nimemsikia Waziri Ngeleja akiongelea juu ya ulazima wa kupandisha bei ya umeme wa Tanesco. Waziri alienda mbali zaidi kwa kuwashangaa watanzania kwa nini wanalalamika kupanda kwa bei ya umeme...
Hebu tujaribu kufanya hypothesis kidogo. Hypothesis huruhusiwa iwapo kunatokea mtiririko wa matukio ambayo misingi yake inafanana.
Iwapo Lewis Makame mwenyekiti wa NEC angekuwa amejaliawa...
ccm ya sasa inaongozwa na mafisadi, jk, ridhiwani, rostam, makamba.udini ni strategy yao ya kuwagawa wa watanzania ili wasiweze kudai haki zao kama taifa moja.ufisadi ni strategy yao ya kupata...
:yuck:Wadau wa JF naombeni muweke cv ya huyu mzee hapa tuijadili kwani anayoyafanya yamekuwa ni kituko sasa sijui tunaijenga jamii gani ya kitanzania:angry::angry:
Katika siku za hivi karibuni Msajiri wa vyama vya siasa alitangaza mgaho wa ruzuku wa kwa vyama vya siasa. Takwimu hizo zinaonyesha mgaho wa ccm ni mara nne ya ule wa chadema. Tofauti hii bila...
Kila mwenye imani aombe Dua kwa imani yake ili MWENYEZI MUNGU ATUANGAZIE BAYANA TUONE HILI BILA UNAFIKI WALA UBINAFSI AU UMASLAHI WA PANDE MOJA YA MUUNGANO Tulikubaliana tuue mama zetu ili wote...
Mwandishi wetu, Kigoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini,amezua jambo jingine kwenye chama chake cha Chadema baada ya kueleza kuwa kelele zote ndani ya chama hicho, zinatokana na fitina ambazo...
WanaJF:
Baada ya JKI kuingia madarakani miaka mitano iliyopita, mivutano baina ya vyama vya siasa vya upinzani na serikali (yaani polisi) kuhusu maandamano ilionekana kutoweka kabisa.
Wengi...
Napenda kuwakilisha hoja ambayo huenda ikatupelekea kwenye point au kwenye mchakato ambao ,huipatia ushindi CCM.
Tuangalie Chaguzi zote za mfumo wa vyama vingi ,tupime matatizo yake namna...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi (Aru), jijini Dar es Salaam, jana walianza mgomo wa kuingia madarasani, huku jitihada za serikali Wilaya ya Kinondoni na utawala wa chuo hicho zikishindwa...
"sijalishwa sumu..........
hakuna mwenye uwezo wa kunilisha sumu.,,
nilipoondoka Kigoma niliaga na wazee walinipa baraka zao.....
kuna watu wanasema eti nitahama, Chadema ni chama cha wana...
Longleat, the first Safari Park outside of Africa but still one of the best! At least, thats what the judges of the South West England for Excellence Awards think as Longleat has recently been...
Kadri siku zinavyoenda nguvu za Chadema za kupata katiba mpya linapata kasi
Sasa hivi kuna mpango unasukwa wa kudidimiza hoja za CDM ili wapoteze imani kwa
watanzania kuwa CDM kudai katiba haina...
Nimekaa na kufikiria iwapo akatokea Raisi wa chama chochote Africa katika uchaguzi mkuu na akashindwa na Upinzani bila kung'ang'ania na kuamuru kutangazwa mshindi huyo wa Upinzani, Si atakuwa...
CHAMA cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), kimetanzaga kususia vikao vyote vya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha, hadi hapo uchaguzi wa Meya na naibu wake utakaporudiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.