Dr hossea alisema kweli kwamba kikwete hataki kuwapeleka mafisadi wakubwa mahakamani !! Na ndio maana hata wakati wa uchaguzi mwaka huu aliwanadi watuhumiwa wote na kuwapongeza kuwa ni...
Kwa nini inaonekana Zitto hapati sympathy kubwa kutoka kwa wananchi (hata humu ndani JF) kutokana na kufikishwa kwake mahakamani? Hii ni dalili ya kuwa nyota yange yaanza kufifia kutokana na kauli...
Natabiri anguko kubwa la CDM kabla ya mwaka 2013. Na pia natabiri CCM kupata ushindi mkubwa zaidi ktk uchaguzi wa 2015. Anaebisha na abishe, Novemba 2015 tutasutana.Tuombe uzima
Kumezuka na zengwe kubwa la udini katika uchaguzi wa mwaka huu. Kila chama kati ya vyama viwili tajwa hapo juu vikituhumu kingine kujihusiha na siasa za Kidini na kibaguzi.
1. CCM
Umekuwa...
WanaJF, SALAAM!!
Kwanza nianze ku-declare interest kuwa mimi ni muislam, nisiye na mpenzi na chama chochote cha siasa. Ni mpenzi wa yeyote yule anaeitakia mema Tanzania na Watanzania.
Nianze...
UVCCM: Hatuna mpasuko, tunajipanga 2015
Imeandikwa na Angela Semaya; Tarehe: 24th December 2010 @ 23:26
JUMUIYA ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema haina mpasuko wala makundi ndani...
Kwamba kwa ukanda wa Afrika Mashariki, 'shule' ilianzia Kenya, ikaja mikoa ya Kaskazini (Magharibi na Mashariki zake) mwa TZ?
Ndiyo maana leo hii watawala waongo-waongo hawafanikiwi kudumu...
Hivi karibuni kwenye taarifa ya habari TBC1 Manumba alisikika akitamka kwamba Zitto anatishiwa kuuawa! Ni habari ya kuogopesha na kushangaza kwa vile watanzania hatuna utamaduni wa mauaji. Hadi...
Umeya wazua kizaazaa
CHADEMA wataka chaguzi ziahirishwe
na Mwandishi wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa John Tendwa...
Jamani nina believe ya chuki sana na hawa watu wa Tanesco, kwasababu nina experience ya miji kama mitatu hivi kuhusiana na hiyo Heading na ndio maana inanifanya niamini kunaconection na Majambazi...
Kwa uelewa wangu mimi, najua Selikali ya umoja wa kitaifa huundwa na vyama vyote ambavyo vinahusika katika kukamilisha uchaguzi mkuu wa vyama vingi, ninapo sema hivyo namaanisha vyama vyote viwe...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikikereka na tatizo la umeme katika nchi hii.Tatizo la ukosefu wa nishati hii muhimu limekuwa tatizo kubwa sana tangu enzi na enzi huku viongozi wa TANESCO na...
Mpango wa serikali kuvipa vyama vya siasa RUZUKU ni sawa kabisa kwa kuwa ni vyama vyetu sisi wenyewe. Lakini, maswali yote yatakua yamejibiwa juu ya zoezi hili ipasavyo??
Labda nanze kwa kuuliza...
DIWANI wa Kata ya Bumera, wilayani
Tarime, Tengera Marwa (CHADEMA),
amelazimika kula kiapo akiwa rumande
wakati wa kikao cha kwanza cha baraza la
madiwani wa halmashauri hiyo mwishoni
mwa...
Jana TUCTA wamekuja juu na kusema hawaafiki bei mpya ya umeme na kuwa wataitisha maandamano nchi nzima kupinga bei hiyo ambayo itachangia sana kuua soko la ajira na kuwaongezea gharama ya maisha...
Cables released by whistle-blowing website WikiLeaks show that the drug trade is not only facilitated by security personnel, but also high ranking military personnel, influential businessmen and...
Nimelitafakari sana hili, na nimegundua kwamba tangu kuapishwa kwa JK mwezi uliyopita, Watz wamekuwa wanaonja machungu tu: Mgao wa umeme na maji, habari za kupanda bei za umeme, ongezeko la bei ya...
Reviewing Nyerere in Elections Year
Amir Demeke
25 August 2010
Book review
Kigali - For those concerned with Africa's liberation, it becomes increasingly important to anchor our steps in...
Kila mwenye imani aombe Dua kwa imani yake ili MWENYEZI MUNGU ATUANGAZIE BAYANA TUONE HILI BILA UNAFIKI WALA UBINAFSI AU UMASLAHI WA PANDE MOJA YA MUUNGANO; Tulikubaliana tuue mama zetu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.