Wazungu waliokuwa na mashamba makubwa, walirudishiwa thamani ya mali zao, wakiristo waliokuwa wanamiliki zaidi ya nyumba moja, hakuna hata mmoja alietaifishwa. Mabenki ya wazungu, yalirudishiwa...
Wananchi Tuanze Kufuatilia Faida za Uuzwaji wa Madini na Mikataba Hewa. Leo Hii Sijui Kama Wengi Tunafahamu Mikataba na Faida Zinazoingizwa Kutokana na Hii Migodi Yetu? Wananchi Leo Hii Hatuna...
Wiki kama mbili zilizopita Waziri wa nishati alinukiriwa na vyombo vya habari kwamba swala la mgao wa umeme sasa ni hadithi TZ. Sasa Tanesco wametangaza mgao, tena mgao mkali wa umeme.
Je kuna...
Kitu cha Kushangaza Kwanini Wananchi Tunawalipa Wafanyakazi wa TBC na Daily News? Watanzania Tunajua Hivi Vyombo ni Mdomo wa CCM Kwanini CCM Isiwalipe? Sisiem Si Wana Mnamiradi Yenu? Wananchi...
Kuna taarifa kwamba vita ya Umeya Kigoma imechukua sura mpya baada ya Zitto kabwe kuitwa polisi na kuna habari kwamba amekwisha kuandaliwa mashitaka mazito ya kumtorosha mtuhumiwa kituo cha...
Ndugu zangu wana JF,
Hivi wananchi wanaolalamika kuhusu kupanda kwa bei ya umeme, walitarajia nini wakati wenyewe ndiyo walioichagua ccm?? Mtazamo wangu ni kuwa kama wamemchagua jk na ccm yake...
Six members of the Kenyan parliament and a businessman have been named for having links to drug trade in the east African country.
Kenyan Internal Security Minister George Saitoti said Ali...
Mchangiaji mmoja amehoji hapa kwamba maadamano ya upuuzi yatakwisha lini? Amewataka wananchi watulie kwa vile uchaguzi umekwisha na CHADEMA wasilete chokochoko. Waiache ccm iendelee kutekeleza...
Jamani wachumi na wale mlio karibu na taarifa sahihi tujuzeni. Uchaguzi umeisha miezi miwili iliyopita, ccm na serikali walifuja pesa sana. Je, hawajaongeza idadi zaidi ya noti kwenye mzunguko...
Wana JF,
NAJUA mtavmba macho kuhusu hii mada. But, i stand for logic and transparency! Hili shirika la umeme apewe mzalendo kuendesha, nchi isonge mbele. Mambo haya ya ufisadi, yataisha.. Ujamaa...
Wajameni kama ni wafuatiliaji wa mrengo wa haya magazeti mtagundua kubadilika kwa ghafla mtazamo wao kuhusu hali halisi ya Ufisadi katika CCM. Kulikoni? wadadisi wa mambo wanasema Matokeo ya kesi...
Hi members! This is my first post and I hope will be given chance by MODs
I request members to give out their views on three contested mayoral seats at the abovementioned cities and municipal...
Tunampongeza Mh Tibaijuka kwa kazi anayoifanya ya kujribu kufuata taratibu zinazohusiana na plan ya jiji kama lilivyotakiwa liwe na wizara ya ardhi. Ambalo linatia wasiwasi kidogo ktk shughuli...
Gazeti la Rai limekusanywa leo na halipatikani kabisa. Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa lilikuwa na habari inayoonyesha kuwa Beno Malissa na Ridhwan Kikwete wanaandaa mapinduzi ya kumng'oa Katibu...
Kwamba hawezi hata kufikiria kuihama Chadema. Labda kuna watu wanataka ahame, lakini yeye hawezi kurudia makosa waliyotenda waliomtangulia
source: tbc1 radio, saa 2 usiku huu
my take, kwamba...
kumetokea ajal hapa daraja la wami watu watatu wamekufa papo hapo ajali imehusisha gar aina ya fuso..kilichowakumba abiri wanaenda arusha na wanaoenda dar ni folen yan hakupitk kabisa.. Tanzania...
Posted Date::11/14/2007
Wanasiasa, wasomi sasa wapongeza uteuzi wa Rais Kikwete
Na Waandishi Wetu, Dodoma
Mwananchi
BAADHI ya wanasiasa na wasomi wameunga mkono uamuzi wa Rais Jakaya...
Najua kuna wengi huenda hawakuipata hii. Nimeitafuta sijaiona jamvini baada ya rafiki kuniambia niitafute. Ila nimeikuta feacebook yake. Wanaoitafuta kama mimi, hii hapa
Msimamo wa Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.