Miaka ya 2003 Mh Pombe magufuri alikuwa na na kesi na jamaa mmoja alikuwa anamdai m300, jamaa alikuwa anatumwa kwenda kulamba 10% tanroards, sehemu kibao tu, kesi waliombwa waitoe mahakamani na...
Harufu kali ya rushwa ndani ya CCM kwa wanachama wa chama hicho wakati wa kura za maoni ilinishtua, na taasisi ya kuzuia rushwa ilionekana imekamilika kulivalia njuga. Karibu kila kona ya nchi...
Tukubalianeni kabisa kuwa uchaguzi umemalizika kwa salama,kama ni mechi ndio imekwisha na mshindi ameshatangazwa ,ikiwa ni rufaa basi wa kushitakiwa na kukabwa ni refa na sio mshindi ,ndivyo mambo...
Gazeti la Rai leo hii limekumbana na Umafia wa watu wanaosadikiwa ni wa TIS kwa kununua nakala zote ambazo ilikuwa imeziandika habari ambazo huenda zitajiri siku za usoni. Watu hao walikwenda...
Siku zote wahenga hunena, panapofuka moshi kuna moto, Nimeanza kwa msemo huu nikijaribu kuoanisha na jinsi mambo yanavyokwenda katika kipindi hiki kifupi baada ya uchaguzi. Migomo imeanza kushika...
Dk.msekela amechemsha kwa kusimama mbele na kutangaza kuwa maandamano ya wanachuo ni haramu. Hivi rc anayetakiwa kuwa neutral anapokuwa na upande watu wakimbilie wapi?? Amejiaibisha kwa kuingilia...
Nimesoma habari ya kushangaza kidogo kwenye gazeti la HabariLeo ikimnukuu mtu anayeitwa Khamis Mgeja (Mwenyekiti wa CCM Shinyanga) akisema eti atamfikisha Samuel Sitta NEC ya CCM kutokana na kauli...
Mwananchi amwambia wakikutana uso kwa uso patachimbika.....
Akijibu swali kuhusu madeni ya Tanesco asema Tanesco ilikuwa inadai zaidi ya bil 100 wakati netgroup solution walipoondoka lakini...
ccm ya leo ya lowasa,rostam, na jk, imejaa idadi kubwa ya wezi, magaidi, mafisadi,wabinafsi, wakwepa kodi, matapeli,watu wanaopenda maisha ya chapu chapu, wavivu, na watu wasiomogopa MUNGU.ccm ni...
BAE investigation: Tanzanian anti-corruption chief 'in fear for his life'
Dec, 20, 2010 12:01 AM - Guardian (UK)
The Tanzanian prosecutor investigating worldwide misconduct by BAE, Britain's...
a
Samson Mwigamba
KWA ruhusa yenu wasomaji naomba nianze kwa kuwashukuru sana kwa mrejesho mlioufanya juu ya makala yangu ya wiki iliyopita. Ni imani yangu kwamba Waziri Kombani ameisoma...
Wakubwa,
Jana kwenye taarifa ya habari TBC1 nikamsikia Manumba akitamka kuhusu habari kwamba Zitto kutishiwa kuuawa, mimi sikubaliani kabisa kwamba hivi nani amuue zitto? kwa lipi hasa...
Akihutubia walimu na wanacho kikuu cha dsm leo, kupitia wosia wa baba tbc1, amewakosoa walimu wa chuo kikuu wanaosema hewala bwana kwa kila kisemwacho na serikali.
Amesema kuna wachache...
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inafuatilia kwa ukaribu taarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Southwark mjini London, Uingereza kuiamuru Kampuni ya...
Tunamuomba mhe. SALEHE PAMBA avunje makundi kati ya madiwani ktk halmashauri ya wilaya pangani ili kuleta maendeleo. Wananchi wanamatumaini makubwa ingawa hakupata uwaziri kama wengi tulivyotarajia.
Wale vijana wanywa damu sasa wanajiandaa kumywa Martin Shigella kada yule aliyekuwa mkuu wa wilaya wilaya ya Mama Salma na akaletwa UVCCM kulinda maslahi ya kundi hilo. Hatua hii inakuja leo baada...
Waungwana,
Mimi binafsi nimekuwa nikifatilia mijadala mingi na yenye tija kwa taifa hili kupitia luninga ya Star, ambapo baadhi ya mijadala hiyo nimepata kuchangia.
Ninadhani sasa,, ya kwamba...
Ndugu wana jf niko katikati ya jiji la Arusha,hali ya hapa si shwari magari ya polisi yakiwa yamejaa FFU yakiwa na bendera nyekundu huku yakipiga ving'ora yakiwa sambamba na lile la kumwaga maji...
Hapana shaka Jakaya Kikwete amekuwa akihusishwa sana katika michongo mingi ya kifisadi iliyo wahusisha marafiki zake. Imekuwa ikisemekana kuwa fedha zilizopatikana kwenye michongo hiyo ndizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.