Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tanzania ni nchi nzuri ambayo viongozi wake wamekazania kuiharibu kwa makusudi. Tufunge na kuomba hawa watu wanotuharibia nchi yetu watahayari na kutuachia nchi yetu bila kutuachia matatizo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninashangazwa na wanasiasa na wapambe wa CCM wanaowawekea vikwazo na kuwanyoshea kidole Chadema eti waachane na mpango wa maandamano kwa madai kuwa watanzania hawana utamaduni huo. Naipongeza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti kauli hii ya DCI manumba kwamba mbunge wa arusha mjini hakuguswa na polisi yaani kupigwa kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari, isipokuwa ni propoganda za chadema tu. pia Star tv...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania changes depends on the most creative and talented young people,rather than rely on politicians or who will be a president. As a president has his part however he will never make a big...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Gazeti la Tanzania Daima linatuhabarisha ya kuwa misuguano kati ya Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa inainyanyasa CCM na kuleta migawanyiko na mifarakano...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba na wafanyakazi wanaoaanza kazi kwa miaka MITANO(5) ya kwanza wawe wanapewa Tax Holliday na endapo watahamia kwa muajiri mwingine hiwe hivyohivyo mpaka hapo atakapo timiza miaka mitano kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF Nichukue fursa hii kwanza kuwatakia Heri ya X-mas na pia kuendelea kushukuru kwa michango yenu Adhimu. Kwa kuzingatia mawazo ya Wadau, ninapost mapema mada ya wiki hii kuwapa muda kufanya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
CUF na TUCTA wanapanga kuandamana. Ni sawa! Lakini jamani tungepiga kura kwa uangalifu, tungekuwa na sababu ya kuandamana? Si tuliyataka wenyewe? Tulipiga kura kama vipofu, sasa tunalalama kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu Kipara aka Kipara aka Kipara ndio aibu kubwa ya mwaka huu kwa UDSM... Chuo hiki kinafahamika kwa mihemuko ya kisiasa hapa nchini lakin mamluki lukuki wameamua ku-dilute ile DARUSO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Jaji Frederick Mwita Werema kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuanzia leo...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Comoros expels Tanzanian for 'poll sorcery' Send to a friend Friday, 24 December...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ninamfahamu kwa karibu kamanda Andengenye RPC wa Arusha. huyu alimaliza masomo pale ya sheria miaka ya kati ya ninety UD na akabahatika kuwa mpambe wa IGP Mahita. IGP Mahita amejulikana kati ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By Gerald Kitabu 25th December 2010 The United Civic Front CUF has said the party’s preview of the election results held in October this year, shows that it won in more than...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Inaelekea kuna mengi Mkoa wa Pwani na hata yale cha kuchimba choo kwa Mamilioni inaelekea yaukweli. Nyumba ya Mtumishi imepigwa plasta na kuzibwa nyufa kwa 50 Millioni na 90 Millioni ni kwa ajili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Bara la Afrika limekuwa likikumbwa na matatizo yanayofanana mfano: angalia Uchaguzi wa Tanzania, Ivory coast, Zimbabwe, Kenya, Sudan na kwingine. imefika wakati baadhi ya watu wanajiaminisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wafanyakazi wote nchini watandamana kupinga bei ya umeme, hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholas Mgaya, source Mwananchi 25 Dec 2010 The only way now ni Maandamano to save TZ iliyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:angry: Tunaishi katika 21 century tukiwa bado katika mentaliti hizi na wenye kufanya hivyo ni viongozi wa nchi ?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Takwimu zinaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 65 ya watanzania walio masikini wa kutupwa, ni wakulima waishio vijijini. Aidha tafiti zinaonyesha kwamba masikini hao mara kwa mara huwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Hivi ukiondoa marais wa Ghana, Afrika Kusini na Botswana, ni rais gani wa Afrika mwenye jeuri ya kumnyoshea kidole cha shutma Gbagbo wa Ivory Coast?? Kwa mtazamo wangu simwoni. Labda...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mungu wetu wa Mapendo,mbona unaiacha nchi yetu inakwenda mrama? Ni nchi yenye amani tangu uhuru toka kwa Waingereza!Jirani zetu wamepigana,wameuana lakini UCHUMI wao na maendeleo ya wananchi wao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom