Gazeti la Habari Leo linatufahamisha ya kuwa Mahakama zimewaonya wenye kesi za madai ya kupinga matokeo ya kura za Ubunge...........kwa kudai ya kuwa wazitafakari na kuona kama zina misingi ya...
Inaonyesha wandugu mna tatizo kubwa sana ,na bado hamjalielewa hadi hii leo ,mnahitaji kusaidiwa kwa hili !
Hiv mnaelewa kuwa bado kabisa mahakama zetu hazijaweza kujitegemeaa katika kutoa...
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita...
Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21
Mi nataka wanaJF mnijuze hili maana kule Economic forum visitors wachache naona...
19 December 2010
Leon Bahati
JAJI Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, ameiponda hukumu iliyotolewa na jopo la majaji saba wa Mahakama ya Rufani kuhusu suala la mgombea binafsi akisema imeonyesha...
Tanzania yaingia ubia umeme wa upepo
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Power Pool East Africa, Machwa Kagoswe, akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu...
Diwani Chadema kuwania umeya Arusha
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 13th December 2010 @ 11:08
DIWANI wa Kata ya Kimandolu katika Jiji la Arusha, Estomi Mallah amepitishwa na Chama...
With reference to african mode of assuming power,I now find it appropriate to raise a new form of government, "democratic dictatorship" This suits as far as many african leaders conduct democratic...
Gazeti la Tanzania Daima la leo linatuhabarisha ya kuwa SYNOVATE ambao wengi tunaamini ni magwiji wa kuchakachua matoeko ya kura za maoni ya Uraisi hawajawalipa wafanyakazi wao mishahara yao na...
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.
GrEatThinkers,
Kuna wadau wametoa wazo la kutengeneza fulana za Dr. Slaa,
Ushauri wangu ni kuwa ktk maandamano ya Januari tuwe pia na Sare ya Fulana hizo ikiwezekana.
mnasemaje wadau??
Salamu za Sikukuu ya Noel na Mwaka Mpya.
Leo nimesoma habari njema katika gazeti la Mwanachi kuwa Tanzania nimeingia ubia na kampuni ya Power Pool Africa ili kuingiza umeme wa Upepo katika grid...
Wiki iliyopita niliandika hapa nikiuliza kama kulikuwa na uhalali wowote wa kumuita EL kuwa ni PM mstaafu, niliandika hivyo nikiwa nalinganisha matendo yake ya kabla ya kujiuzuru na ya sasa, pia...
For the JF members in USA, please tune to CBS 60 minutes there is coverage of Tanzania and Serengeti specific about the great migration and possibility of its decline if not extinction!
Mods...
Mimi ni mgeni hapa jamvini lakini nimejaribu kupitia Post za wanajamvi lakini CJAWAHI kuona,kusoma au mchango wa Mh JMK ndani ya Jamvi je? Hatembelei humu ndani kama afanyavyo Dr Slaa?Au...
***************************
SOURCE: Gazeti la Mwanza liitwalo MZAWA
Toleo la : 588
Date: Desemba 25, 2010,
Page: Front Page
Headline: Sakata la Umeya wa Jiji la Mwanza, CHADEMA yamkaanga...
Gazeti la Mwananchi linatutaarifu ya kuwa Spika Mstaafu Mheshimiwa Samweli Sitta anamvutia pumzi kada wa CCM Bw. John Mgeja ambaye ameahidi kwenda kwenye NEC ya CCM na kujenga hoja binafsi ya...
CHADEMA yatoa masharti mgogoro wa mameya
Na Reuben Kagaruki
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa masharti ya kumaliza mgogoro ya uchaguzi wa mameya katika maeneo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.