WanaJF wenzangu napenda kutoa ushauri kuwa tupunguze MAKALI ya kauli zetu. Kama tutaendelea hivi tutakatishana tamaa na itakuwa ngumu members kutoa HOJA ambazo kwa namna moja au nyingine zina...
Wewe ni judge halafu unatamka maneno hayo kesi gani utaifanyia haki? Marekabisho kwa kuandika katiba ni lazima huwezi kushindana na PEOPLES POWER. Wewe unatulinganisha wenzio na BATA tuonee...
GreatThinkers,
Nimekuwa nikifuatilia kesi mbali mbali, hasa zinazoihusu Serikali na Mafisadi dana dana na ububu umekuwa kibao kiasi kwamba unashindwa kuelewa kwa nini nchi tumekuwa na Roho ya...
Chadema wacheni kutaka kuichafua nchi,kila siku mnazua jipya linaloashiria upotevu wa amani katika Taifa hili la Tanzania,inawezekana kabisa kuwa baadhi yenu hawana uzalendo na nchi hii na wana na...
Na Maggid Mjengwa,
UKITAKA kumjua Mwafrika, basi, mwangalie siku anapohama. Ndivyo tulivyo. Hata kwenye uongozi, ni hivyo hivyo. Mwangalie kiongozi wa Afrika anapoingia na anapotoka kwenye...
Spika akiwa anakagua ujenzi wa makazi yake mapya ambayo yanajengwa kwa kodi zetu.
Hii ni hali katika hospitali zetu.Baadhi ya walipa kodi wakiwa wamelala au kukaa chini kutoka na uhaba wa...
"KATIKA SIASA HAKUNA RAFIKI WA KUDUMU WALA ADUI WA KUDUMU" Itakuwa vipi leo hii Dr Slaa, Mbowe na Tundu Lissu wakijiunga na CCM ilhali Edward Lowassa, Rostam Azizi na Makamba wakienda CDM? Yupo...
Gazeti la Jambo Leo.....linatuhabarisha ya kuwa Profesa Lipumba ambaye vilevile ni Mwenyekiti wa CUF bado atafakari kama atashiriki mbio za uraisi 2015....................
Nilifikiri baada ya...
Mimi ni mgeni hapa jamvini lakini nimejaribu kupitia Post za wanajamvi lakini CJAWAHI kuona,kusoma au mchango wa Mh JMK ndani ya Jamvi je? Hatembelei humu ndani kama afanyavyo Dr Slaa?Au...
hii ni kauli iliyotolewa na mtu anayejitapa kuwa ni mwanasiasa mkongwe. hamad rashid.
"process ya siasa ni mchakato"
ha ha ha ha!!! hizi ndiyo aina ya akili za mbayuwayu alizosema JK?
Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:
(1) Salmin Amour Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na...
@ Madaraka naona nitumie taarifa yako hii hapa JF japo sio yote ,Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari...
Nimesikia Clouds FM Afande Kova amekataa kutoa the so called Kibali cha maandamano ya kesho saa mbili asubuhi na kusema kuwa hakuna kiongozi wa juu wa Serikali aliyeyakataa madai ya katiba mpya...
Siasa inapoingia katika masuala ya msingi, tunaelekea kuua taifa letu! leo tunaambiwa bei ya unit 1 ya umeme inapanda kwa asilimia 18, so kutoka ilipo karibu Shs. 129 tunaelekea Shs.160 kwa unit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.