WanaJF:
TAKUKURU yetu inayo uthubutu wa kufanya kitu ya namna hii? Soma story hii kutoka kwa majirani zetu.
Kacc quizzes Ngilu over graft
By WALTER MENYA,
Daily Nation, Nairobi...
Kwa kuwa wanasiasa wameshindwa kutuunganisha watz na badala yake kugombania masilah na publicity na kwa kuwa wasomi (watendaji wakuu ndan na nje ya serikali) wamekubali kutusaliti sisi ndugu zao...
Aliyemhoji Hoseah ni jasusi aliyebobea
Mwandishi Wetu
WAKATI wananchi wakimkosoa mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah kupinga taarifa ya...
Samahani wana JF naombeni kuuliza.
Hivi mzee Kingunge Ngombale Mwiru bado yupo katika Bunge la 2011-2015.
Nifahamisheni mwenzenu maana sina uhakika kama kaendelea kuwepo au la ingawa kusema kweli...
Naomba uweke uliowaona ni viongozi wa Kisiasa waliopendwa na Watanzania sana 2010
kwa utendaji na si wababaishaji, na wawajibikaji kwa wananchi bila unafiki, usanii i mean
they walk the talk, bila...
Gazeti la Mwananchi la leo linatufahamisha ya kuwa utafiti wa jarida moja la Uingereza limebaini ya kuwa JK hana namna ila kulipangua Baraza la Mawziri na kuwapatia Mama Tibaijuka na Mzee Sitta...
CHAMA Cha Wananchi (CUF) jana kiliwazidi ujanja polisi waliokuwa wakidhibiti maandamano yao baada ya kufanikiwa kuyafanya na kuwasilisha rasimu yao sifuri ya katiba kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Habari za uhakika, 100%, ni kwamba baaba ya mheshimiwa JK, Kuamua kumtosa waziwazi rafiki yake ambaye bila yeye urais wa awamu iliyopita angeusikia radioni, mshikaji Lowasa sasa ameamua, MWAGA...
Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya...
Mara nyingi Dr. Slaa anapochangia hoja mbalimbali hapa jamvini kuna watu wengine wanatoa lugha za kejeli kwake na hata baadhi kumtukana. Lakini kwa nini basi haachi kuingia na kuchangia Hoja...
Leo ukisikia dk slaa atapozungumzia swala la maandamano kuhusu Downs, kesho ukiamka wanahrakati wetu nao utwasikia hayo hayo, utawasikia eti na wao wanapinga hayo hayo aliosema dk slaa.kwa mfano...
Nilisikia kutakuwa na maandamano (CDM) ya kupinga kupanda kwa bei ya umeme mwakani. Kwa nini yasianze maandamano ya kushinikiza tumjue aliyetuingiza mkenge DOWANS aka RICHMOND. Na tukimjua...
Alipokuwa anajiandaa kuwania kiti cha PM nchini Uingereza Tony Blair alisisitiza kukifanyia maboresho chama chake cha Labour. Kwa ahadi hiyo alishinda uchaguzi kwa kishindo kwa viti 179. Ushauri...
Police use teargas to disperse Tanzania protesters
Tue Dec 28, 2010
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian police fired teargas and water cannon to disperse hundreds of opposition protesters...
Sakata la umeya Mwanza limechukua sura mpya baada ya uongozi wa Chadema kumshtaki Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kwa yale yanayodhaniwa ni kuvuruga uchaguzi wa Umeya na kukipendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.