Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa muda mrefu sasa tatizo la umeme kukatika limekuwa likitokea mara kwa mara na mara nyingi ikiripotiwa kusababishwa na kupungua kwa maji katika mabwawa ya kuzalishia umeme, ndugu zangu ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tamko ama tishio la Tume teuzi ya Mawasiliano TZ ya kuwashtak watu/kikund kinachotoa/vujisha mawasiliano ya watu/viongoz wa kijamii is absolutely a time barred and myophio thinking na haina nafas...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa-Tanzania tusizike tu kichwa kwenye mikataba ambamo tayari kumeshaingizwa mjini, je na mikataba mingine ambayo HAIJALIPUKA BADO NA TAYARI YAMESAINIWA nchini tuyapekue haraka kabla ya kufikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu wana JF nimejaribu kungalia katika Safu ya Viongozi Walipata Kutokea katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Namna walivyotimiza majukumu yao katika Kuwatetea Watanzania wote bila kujali...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Pale mwenge stand kuna ndg yetu albino anauza magzeti,sasa sijui ni amri ya nani na kwa malipo gani nmekuta ameyageuza magazeti ya mwanahali upande wa michezo ndio ulikuwa ukionekana kwa wapita...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wana jamii ni ukweli usiopingika mwezi wa kumi na mbili mwishoni Dar es salaam foleni huwa zinatoweka kabisa,je ingekuwa namna hii the whole year si wananchi wangepiga hatua kubwa za kimaendeleo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Maelezo au maoni ya watu mbalimbali na wanazuoni kuhusu sakata hii wanaweka msimamo kumpinga Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Lakini, lipo tatizo nadhani inawezekana ni la msingi. Mara mbili sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijaamini macho yangu niliposoma habari kuhusu hukumu iliyotolewa na mahakama dhidi ya Mbunge wa Bariadi (CCM) Andrew Chenge a.k.a Mzee wa Vijisenti ambapo licha ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajumbe WDC wamsusia diwani wa CHADEMA Na Said Njuki, Arusha WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC) ya Elerai wamemkataa mwenyekiti wa kamati hiyo, Bw. John Bayo kwa sababu ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni mwaka mwingine tena unakaribia kuanza, mwaka (2011) ambao Tanzania itasherehekea miaka yake 50 tangu kuwepo kwenye ramani ya dunia. Kama taifa ni nini tunatafakari wakati huu? Je kama taifa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kutokana Yote Tunayafahamu Mpaka Sasa, Sharif Alipanga Kurudi CCM kwa Kupitia Njia ya Uchaguzi. Kawaida Wapinzani Dhaifu Wanarudi CCM kwa Njia ya Kutangaza Habari Maalumu Ila Sharif Ametumia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanazuoni mbalimbali katika fani ya maendeleo na uchumi wamewahi kuja na theories mbalimbali katika kujaribu kueleza dhana ya kutokuendelea kwa nchi za dunia ya tatu, pia wamejaribu kutoa hatua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Meya Arusha aanika mikakati yake Tuesday, 28 December 2010 20:16 Happy Lazaro, Arusha HALMASHAURI ya Jiji la Arusha limejiwekea mikakati mipya ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dk. Slaa aacha kilio CCM na Mwandishi wetu USHINDI mwembamba wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliosababisha ruzuku yake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Well, kuna wakati inabidi tuseme tu kuliko kuzungushana kwenye huu utando wa buibui wa ufisadi. TUmekuwa kama kumbikumbi, na kama vipepeo tumenaswa na wao wanatuchezea tu.. kama paka aliyeshiba...
0 Reactions
112 Replies
11K Views
CCM yamgeuka Lowassa Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 23rd December 2010 Habari Leo Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa. MGOGORO wa kisiasa wa kuhusu uchaguzi wa Meya wa Jiji la...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Heshima kwenu wendawazimu wenzangu wanaJF.. Ndugu, nimelazimika kutumia lugha kali dhidi yangu kwa kujiona ni mwendawazimu (sijui mtakubaliana nami au la,)..kuwa Tanganyika yetu siku za usoni...
0 Reactions
3 Replies
36K Views
sote tunakumbuka vile ccm walikuwa wakijipamba kwa mafulana yao ya kijani na makofia kipindi cha uchaguzi. tena wale wenye uwezo kifadha. ndiyo yalikuwa mavazi yao ya kuvaa hata maofisini. baada...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya kutofautiana na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Ukiangalia hapa Mkurugenzi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
CUF ndo chama peke chenye msimamo na ndio kitakacholeta mabadiliko-hadi katiba mpya. Wanachama wake huwa ni watiifu na hujitoa saana ktk maandamano. CHADEMA wanachama wao huwa ni waoga na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom