Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Profesa Msolla aipa somo CCM kura za maoni Imeandikwa na Frank Leonard, Kilolo; Tarehe: 26th December 2010 @ 23:44 MBUNGE wa Kilolo mkoani Iringa, Profesa Peter Msolla ameomba mfumo wa kura...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nasema hivyo haiwezekani mtu alipe faini papo kwa papo kama hangejua nini kitakachoendelea.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahakama ya Kinondoni DSM yamtia hatiani Andrew Chenge (Mbunge wa Bariadi) kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya laki saba. Amelipa faini ya laki saba. Haki???:angry: source TBC.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi vyamavya upinzani havina ruhusa ya kufanya maandamano ya amani??mbona chama tawala chenyewe hata taarifa kwa polisi hakitoi??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nasikitika kwamba hawa "TIGO" wanao zurura kwenye pikipiki haswa "uhindini" wanantutesa sana...wanatusimamisha na ku uliza maswala na pia wanatu kajeli wahindi...ni kitu kibaya ninawyo fikiria...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, just wondering if this was a tricky think about this! we are about to pay DOWANS 185 Bil and accidentaly TANESCO reised their tarrif for 18.5 prc. What a coincidence?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
GreaTthinkErs, Nafahamu tuna michakazto mabli mbali inayoendelea kuimarisha Taifa Letu. Nimetoa Email na Simu yake kurahisha mawasiliano kwa yule anayehitaji. Lets Click&dial for Good.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je,kuna haja ya kubadili jina la kikosi chetu cha kutuliza ghasia na kukiita kikosi cha kutuliza demokrasia, maana naona kila palipo na chembechembe za mapinduzi ya demokrasia hawa jamaa lazima...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tumesubiri Mpaka Tumechoka na Bado CCM Wanatudharau na Kututemea Mate Usoni. Hili Tunalisema Kwa Sababu Ushahidi Unaonekana Wazi kwa Wananchi. Kama Wengi Tumesikia Jaji Fake Mteule Warewa Anasema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi Chama cha Makamba(ccm)sorry chama cha mpinduzi Hakina mda mrefu wakuanguka chali kina kila dalili japo kinadhani kitakuwepo milele!lakini kadri siku zinavyokwenda niwazi maisha yake yapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ushauri alioutoa Profesa Mukandala kwa Rais Kikwete kwangu mimi ni wa Kisanii zaidi kuliko wa kisomi. Watanzania wanachotaka ni kuandikwa kwa katiba mpya na sio kuifanyia marekebisho katiba iliyopo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefuatilia matamko mbalimbali yanayotolewa na jaji Werema ambaye ni mwanasheria mkuu wa serikali na kugundua kuwa hajui wajibu wake. (1) Amekuwa ni mtoa matamko ya serikali badala ya kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgeja: Kilango sio saizi yangu Tuesday, 28 December 2010 20:41 MWANDISHI WETU MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Khamis Mgeja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support,David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Jenerali Matwani Kapamba...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau, Naomba tuelimishane au kukumbushana juu ya wanawake, ya kwamba:- Kwa nini wanawake hawapendani Kwa nini wanawake wanadharauliana sana Kwa nini wanawake wanapohitaji huduma huwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hii imekaaje kwa cuf kupanga maandamano na kisha asiwepo mwenyekiti au makamu wake? Na ni kwa nini wanaandamana kwa staili ya kuwakwepa polisi? Polisi wakipita mtaa huu wenyewe wanahamia mwingine...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nadhani wiki leaks wanaweza wakawa na mlolongo mzima wa hii skendo ya Dowans! I wish Assange angetusaidia kuitoa live hii nayo, though najua watu wanafahamu hasa nani mmiliki halisi wa Dowans. It...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Najifikiria sana hasa baada ya kila mradi inakuwa ni dili la mafisadi. Ni nani ajuaye bei ya kutengeneza hizo nOTI Je USD,STERLING POUND na EURO mbona hazibadiliki mara kwa mara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Back
Top Bottom