Tusome Hii article Hapo Chini Kutoka AP. Ukisoma Hizi Habari Kila Leo Matatizo ya Umeme Tanzania Utakuta Uongo na Majibu Yasioeleweka. Leo Hii Tanzania Sehemu Nyingi Hakuna Umeme na Asilimia Zaidi...
Hatimaye Mahakama imemkuta Chenge kua na hatia ya kuua watu watatu baada ya kuwagonga na gari lake alilokua akiliendesha.
Je naomba mchango wenu, Kwakuzingatia adhabu aliyopewa na mahakama kulipa...
I read this article and it became clear to me that we are staring at the abyss and have no clue.
The water woes in Mvumi seemed to coincide with the closure in 2004 of Hifadhi Ardhi Dodoma...
Katika kuangalia na kusikiliza vyombo vya StarTV na RFA sijawahi kusikia habari yeyote inayohusu wabunge wa Nyamagana na Ilemela wakipewa coverage katika shughuli zao zote wanazozifanya ziwe za...
Watanzania kuweni macho. Haiingii akilini kwa serikali kukwapua kiasi chote hicho cha pesa na kudai kuwalipa fidia watu wasiojulikana majina yao. Hiyo ni mikakati mizito ya kusaidia kueneza...
Tangu tumepat uhuru tumekuwa tukiongozwa na serikali ya ccm,lkn walichokifanya ukilinganisha na ile ya kikoloni utaona wakoloni walifanya mambo makubwa sana kuliko hawa mafisadi sasa tuombe...
Wana jf leo nataka kuwakumbusheni ya viwanda ambavyo vilifanya kazi kwa ufanisi ila vikafa kama Tameco,Ufi,ZZK,SUNGURA TEX,TANGANYIKA Packars,je tatizo lilikuwa wapi?na tunashindwa kuvifufua
Katika Khali isiyo ya kawaida katika nchi yetu kuna hii kitu Ufisadi, Rushwa na mengineyo yanayo rudisha maendeleo nyuma, si kwamba nchi yetu ni maskini au watu ni maskini la hasha ila kuna watu...
Katika mitego mibaya ambayo Chama cha CUF wamewahi kutegewa na kunaswa ni kujikuta wameingia kwenye mseto ambao kimsingi umewavua sifa ya kuwa watetezi wa wananchi kwa kuleta changamoto...
Tofauti ya kura 1% yamliza Seif
Na Mwajuma Juma, Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho kukaa chini na...
ON THE LEGITIMACY OF AN ELECTION - DID HE WIN?
By. M. M. Mwanakijiji
There are four types of election results that need to be appreciated and well understood before making a commentary on...
"Alisema wametumia nguvu za wastani kuwatawanya wana CUF na watu tisa wanashikiliwa na jeshi hilo na hakuna aliyejeruhiwa katika maandamano hayo, na Polisi kupitia Idara yake ya Upelelezi...
Mzungu wa Knight Support Atishia Kuondoka Kikaoni Kwa Ghadhabu Mbele Ya Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha
Written by haki | // 2 comments
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi...
Wakongwe wa siasa za maji marefu CUF wamelitibua tena jeshi la polisi na kuhakikisha wamefanya kile walichokusudia kwa amani huku wakiwachezesha polisi kifura.
Polisi ambao walionekana kupania...
RA ana pesa. Pesa alizochuma kifisadi kutoka kwa WaTZ.
Anaweza kutumia ukwasi wake kuwahonga watu wa WikiLeaks ili wasivujishe siri zilizotajwa na MwanaHalisi la juma hili?
tujadili
MAKAMU wa Rais, Mohammed Dk. Gharib Bilal atakuwa miongoni mwa Watanzania watakaoshiriki mkesha wa kitaifa wa kuiombea Tanzania na viongozi wake jijini Dar es Salaam.
Mkesha huo pamoja na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.