Ndugu zangu wanajamvi, leo kwa macho na masikio yetu tunayaona yakutokea yanavyotokea, viongozi wasio na uzalendo na hari ya kweli ya kuleta maendeleo wamejaa kila idara,Haya yote yanatokea ktk...
"KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEVISUKUMIA MBALI(maili 300) VISIWA VYA ZANZIBAR" Ni kauli ya Mwl Nyerere. Kwa anayeweza asome kitabu cha Towards democratization process in Zanzibar cha Dr Mohamed...
1. Anajaribu kutuaminisha udini upo - kati ya Wakristo na Waislamu - na anajenga hoja kuwa makundi haya mawili yalipiga kura kidini. Ana data au anafikiria hivyo?
2. Anajenga hoja pia Waislamu...
Ya nini kupiga mzunguko wa kichaka (hit around the bush)?
Waliyofanya ccm kwenye chaguzi za meya Arusha na kwingineko, ni kivuli tu cha yale waliyofanya mwezi november mwaka jana.
Ndugu zangu!
Wote tumeshuhudia jinsi Dr. Wilbroad Slaa alivyomtoa MKuu wetu Kamasi! Ushindi tumepata wa kishindo, lakini si kishindo kikubwa kama kile cha awamu iliyopita. Tujipe moyo tu kwani...
Ubabe umetumika kuzuia chaguzi za mameya katika halmashauri kadhaa nchini au kulazimisha chaguzi katika manispaa nyingine kinyume na taratibu.
Tumeshuhudia wabunge wakipigwa hadharani, wananchi...
Na Maggid Mjengwa
Disemba 29, 2010
UKITAKA kumjua Mwafrika, basi, mwangalie siku anapohama. Ndivyo tulivyo. Hata kwenye uongozi, ni hivyo hivyo. Mwangalie kiongozi wa Afrika anapoingia...
Katika siku za karibuni, kulifanyika mkutano baina ya wafadhili na serikali ya Tanzania, kwa lengo la kutathmini hali ya utekelezaji wa mipango mbali mbali ya kuimarisha uchumi. Wakati wa mkutano...
Vijana wetu wa jeshi la polisi wanafanya kazi kubwa sana, nzuri na yenye kutukuka. Leo wamepambana na majambazi mjini Mwanza na kufanikiwa kuyaua majambazi mawili. Lakini vipi serikali yetu, mbona...
Ndugu Watanganyika kupoteza Roho za watu wawili bado haiwezi kuwa juu ya Sheria za Mtu Mkuu katika CCM? hii ni Mara ya pili hii ilitokea kwa Ditopile Mzuzuri na Sasa Mzee wa Vijesenti Andrew...
CUF watishia kwenda ICC Send to a friend Wednesday, 29 December 2010 20:52 0diggsdigg
Sadick Mtulya na Elias Sichalwe CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetishia kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Jinai...
Rostam (Persian: رستم, pronounced [ɾostæm, ɾʊstæm]) is the national hero of Greater Iran in Persian mythology. Rostam is the champion of champions. As a...
MWANZO WA MWISHO WA MICHANGO MIKUBWA YA SHEREHE
Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango...
Mimi kama Mtanzania mzalendo naipa hongera CUF kwa kufanikiwa kuanika hadharani nia na lengo la kudai Katiba mpya ,hivi sasa sio siri tena Dunia nzima imeshapata habari,hivyo kiongozi mkuu yeyote...
Wananchi Tusome Hii Article Kutoka AP. Tunaona Hawa Makada wa CCM Huku Jamii Forum Wanajitahidi Sana Kutetea Madhambi na Maafa ya CCM Tanzania. Ukweli Kama Tulivyojua Tangu Zamani JK na CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.