Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mzee wa mabomu, saa ya ukombozi ni sasa! Mchungaji Mtikila anayesifika kutia magadi kwenye sabuni, mbona yu kimya sana sasa hivi? Yu wapi?
0 Reactions
39 Replies
3K Views
MP joins bandwagon against new constitution By George Marato, The Guardian, Dar es Salaam 30th December 2010 While some politicians, activists and academicians are agitating for the drafting...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu Wananchi; Habari za jioni. Leo tunauaga Mwaka 2010 na kuukaribisha Mwaka 2011. Kama ilivyo ada, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, kwa kutujaalia uhai na kutuwezesha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Date::10/9/2008 Dk Hoseah ateuliwa kuingia katika 'Takukuru' ya kimataifa Na Peter Edson Mwananchi MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Nawapa heko WaTZ. Kwa kupevuka kifikra. Kwa kukataa mafisadi wa CCM kufikiria kwa niaba ya WaTZ. Hii ni hatua kubwa katika kuelekea ukombozi wa taifa letu ambalo tunaambiwa lina utajiri wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Salaam JF, heri ya mwaka mpya. ndg zangu wapendwa, tumemaliza mwaka 2010 na sasa tumeingia 2011. mwaka 2010 umekuwa wa kihistoria na matukio mengi kwa nchi yetu kama vile uchaguzi mkuu uliokuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana nimeisikiliza kwa umakini hutuba ya rais wa JMT nikiwa na matarajio makubwa ya vitu viwili ambavyo vinagusa hisia za waTanzania wengi kwa sasa, nayo ni 1. Katiba mpya 2. Dowans Suala la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, Naandika nikiwa Iringa. Ndio, tunaumaliza mwaka huu na mjadala wa Katiba mpya. Nami, katika siku hii ya mwisho wa mwaka, nimeona umuhimu wa kuzungumzia suala hili lililo ndani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Safari za kwenda kwenu baba zimezidi kila siku kwenu tumia akili hii siyo nchi ya starehe'sasa hivi amepita kwenda chalinze kunani chalinze hukuiba kura kwenda chalinze kila weekend hujui matatizo...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Katika hali inayothibitisha ukiukwaji na uporomokaji wa maadili katika sekta ya umma ni uteuzi wa Jaji Werema uliofanywa na JK kuwa Mwanasheria Mkuu..........Kisa ni kugonganisha mihimili mitatu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu nchi yetu ipate uhuru takribani miaka 50 iliyopita, imepata mafanikio mengi ya kujivunia. Pengine makubwa kuliko yote ni; amani, utulivu, na mshikamano wa wananchi bila yakujali rangi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wapenda mageuzi na ustawi wa jamii inayoishi maisha bora na ya haki, mafisadi na mashabiki wao, mabibi na mabwana nakupongezeni sana kwa kufika mwisho wa mwaka mpya na nakutakieni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Term iliyopita Rais alikuwa na utaratibu wa kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi. Sina hakika kama bado Rais ataendelea na utaratibu wake wa awali kwa kipindi hiki cha miaka mitano...
0 Reactions
103 Replies
9K Views
Taarifa ya habari katika Television ya National Broadcasting Company (NBC) ya Marekani jana saa kumi alasiri ilitangaza kuwa Serikali ya tanzania iliopo madarakani sasa imekazania kujenga barabara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hotuba yake ambayo hivi sasa inafikia ukingoni. JK amejikita zaidi katika kueleza mafanikio ya serikali yake. Kwa mwananchi wa kawaida baadhi ya mafanikio hayo anayojivunia yanatia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati mambo yakiwa yamepamba moto 'Katiba mpya, katiba mpya,katiba'..JK kwenye hotuba yake 'amechombeza' kuwa nae anawiwa na suala hilo..na hivyo atahakikisha linafanyiwa kazi katika kipindi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni maneno ya JK ktk hotuba yake tar. 31.12.2010
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa TLP Hamad Tao jana alisema chama hicho kinataka katiba iruhusu serikali tatu madai ambayo tumeyasikia toka kwa chama cha wananchi CUF, je kauli ya Chadema chama kikuu cha upinzani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inasikitisha kusikia eti 26% ya umeme unaozalishwa na tanesco unapotea,hao maofisa wao wanapata unit 750 kila mwezi,nguzo ambazo wanatuunganisha umeme wanatuuzia kumbe kiutaratibu iliwapasa kutoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom