Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwana jamii hubu angalia hapa; Video - Breaking News Videos from CNN.com - Ruler of Dubai deals with debt
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule Tajiri mwenye kujiamini ameahidi siku ya tarehe 31 Dce 2010 kuwa anatarajia kujichimba visima 1000 vya maji katika wilaya zote za Tanzania isipokuwa Dar es Salaam. Gharama ya kila kisima ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sote tunakumbuka jinsi Maalin Seif alivyoshinda Zanzibar na Lyatonga alivyoshinda Dar lakini kwa ruksa ya Nyerere Serikali ya Mzee Mwinji ilichakachua matokeo. Pia Majaji makini walirule ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Great thinkers nimekuwa nikitafakari kuhusu raisajaye kupitia ccm nikaona anayefaa labda kidogo dr. Magufuli, lkn hiyo wizara aliyopewa si anaweza kukwamishwa kwa makusudi kiutendaji ili aonekane...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi naonaga wafanya biashara wa kimasai wanaoishi Arusha huwa wanateseka sana. Hawa mabwana wanaishi kwa matumaini wakitegemea kwamba Lowassa atakuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2015. Kila kukicha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chadema wamechukua manispaa uchaguzi umefanyika leo na ni shangwe tupu
0 Reactions
67 Replies
6K Views
CCM taabani kifedha Friday, 31 December 2010 20:56 Katibu wa chama cha mapinduzi,Yusuph Makamba Hussein Issa na Habel Chidawali, Dodoma MAMBO si shwari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajamvi wenzangu nauliza hivi nini hatima ya malumbano ya wanasiasa wa Tanzania? Nova Kambota is on JF enjoy his critical arguments and views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapangishiwa hoteli za gharama kubwa Waliotemwa wapewa muda kuachia nyumba Serikali inatumia mamilioni ya fedha kwa ajili ya kuwapangishia hoteli baadhi ya mawaziri wapya na manaibu wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la mwananchi la leo linatupasha habari ya kuwa ushauri wa jaji Mkuu ambaye sasa ni mstaafu juu ya haki ya kuhoji Mahakama Kuu kuhusu matokeo ya kura ya uraisi yaliyotangazwa na NEC...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wajumbe tunahitaji michango yenu nini kifanyike mwaka ujao ambacho kitasaidia kuondoa ufisadi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gazeti la Nipashe la leo linatutaaarifu ya kuwa mamilioni ya fedha yanaendelea kuteketezwa kuwalipia mawaziri ambao wapo mahotelini................................... Hili siyo jipya kwa JK kwani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii imetolewa muda si mrefu na wizara ya Mmabo ya Nje ya Uingereza ikiwaonya raia wake kuhusu kutembelea Tanzania ambako wanasema hivi: There is a general threat from terrorism. Attacks could...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeangalia katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nimeona hivi kuhusiana na hali inayofanana na hii aliyo nayo Mh. Chenge. Ibara ya 67 (2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Nimekuwa nikijaribu kutafakari historia ya uongozi wa tanzania Tokea wakati wa awamu ya kwanza mpaka hii ya Sasa. Kihistoria Mwalimu alichaguliwa na wenzake nae akajaribu kufanya aliyo weza ili...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Jamani kuna siku nilikuwa nasoma humu jf nikaona thread moja inayosema nyimbo anajiandaa kufungua matawi mia ya chadema njombe sijui amefikia wapi? Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, Uhuru = Hakuna Upinzani? Jibu NDIYO/HAPANA( Fikiri kwa bidii, jibu na jadili, ukipenda) HERI YA MWAKA MPYA! Maggid Iringa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Festo Polea MFANYABIASHARA maarufu wa jijini Dar es Salaam, Mustafa Sabodo, amesema kama viongozi wanaotuhumiwa kuhusika katika ufisadi wa namna yoyote nchini wanataka kusamehewa na Mungu na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
WanaJF, Kwa namna nchi inavyokwenda chini ya uongozi wa Jk, nimekuwa nikipata wasiwasi juu ya uwezo wa rais jk kiuongozi. Nimekuwa nikijiuliza kwamba hivi nchi yetu ingeelekea wapi endapo Jk...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom