Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu Zangu, Historia ni mwalimu mzuri. Bado kuna umuhimu wa kukumbushana historia yetu. Kukumbushana tulikotoka ili tuelewe tulipo na tupate walau mwanga wa tunakokwenda. Huko nyuma...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga, mapungufu yaliyoko katika sheria za kazi hapa nchini, yanasababisha baadhi ya kampuni binafsi, kuajiri watu wageni hata kwa kazi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Moshi Urban MP accused of election graft From PETER TEMBA in Moshi, 30th December 2010 @ 16:00 , Total hits: 119...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
watoto wa nyerere akuna hata mmoja ambaye nimewai kusikia kuitaji kugombea kiti cha uraisi, tofauti na wa karume au walishatangaza nia sema nilikuwa mdogo nisaidieni kujua wana jf
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leaders fault proposed Constitution Commission By Rodgers Luhwago, The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania 2nd January 2011 A cross-section of opinion makers have faulted President Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kabla hamjaja na kuleta habari za mfu please bear the details. The man is dead and as a nation we have to move on. Enzi zake the world was a different place kulinganisha na sasa. So mwacheni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wananchi Tuna Uhakika Uamuzi wa Serikali ya Tanzania Kwenda kwa Arbitrator au Kuchukua Hii Njia Kusolve Hili Swala ni Mbovu and This is Fact. Serikali na Wanasheria wa CCM Walikwenda kushop Around...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Happy New year 2011 Dear JF members!! As we start the year, please lets it doing some reading! I do love reading books. recently I have come across a book by one Chika Onyeani, a Nigerian...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
ccm inatupatia hasara sana kwenye taifa letu kwa sababu bilion 2 ni pesa ambazo zingeweza saidia wananchi hata kwa kuwajengea zahanati au mashule lakini hizo pesa zinapewa mahakama kuu kuendeshea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nani anayekabidhiwa fedha ya Dowans? Na Saed Kubenea - Imechapwa 22 December 2010 Gumzo la Wiki WAZIRI Mkuu wa Jamhuri, Mizengo Pinda amejitwisha zigo lisilobebeka. Litamuangusha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
KANISA Katoliki katika Jimbo la Sumbawanga, mkoani Rukwa, limevunja ukimya na kunena kuhusu mambo yaliyosababisha waumini wake, kutengwa na wengine kuwekewa pingamizi kwa kukufuru utatu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu Zangu, NIMEMSIKILIZA Rais wetu akilihutubia taifa jana jioni. Hii ni tafsiri yangu ya alichokiongea. Kwanza kabisa nataka niseme, kuwa hotuba ile ya Rais Kikwete ni ya kihistoria. Ni...
0 Reactions
112 Replies
8K Views
Kikwete's reelection victory based on achievements, progress in Tanzania English.news.cn 2010-11-06 09:14:24 FeedbackPrintRSS by Guo Chunju DAR ES SALAAM, Nov. 5 (Xinhua)...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Ndugu wana JF, Inasikitisha Rais wa nchi akituhumiwa kwa mambo mengi sana, mikataba mibovu,....... 1. IPTL 2. Madini 3. EPA 4. Serengeti 5. TRL 6. Richmond 7. Dowans 8. Uchakachuzi wa Uchaguzi 9...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIEZI michache iliyopita, niliandika katika safu hii ya Mchokonozi nikiwaonya wapiga kura wa nchini mwetu waliokuwa wakifurahia kupewa ubwabwa na maharage, khanga, tisheti na kofia wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Meya wa manispaa ya Arusha aliyechaguliwa na madiwani wa CHADEMA Estomih Mallah amejiuzulu baada ya kutafakari kwa kina na kusema kwamba kung'ang'ania kukalia nafasi hiyo ni kuendelea kukiuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF natia timu hapa sebureni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu Zangu wanaJF, Hii biashara ya kuuzwa kwa Calenda za CHADEMA mbona kama inahijumiwa, kwani zinatolewa chache mno kiasi cha watu wengi wamekuwa wakipanda dau ambalo nimenunua mimi. Naomba...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ile kauli eti tatizo ni mgombea wa CCM kuuelezea utatu katika hali ya kisiasa ndio iliyofanya waumini waliomuunga mkono watengwe proved not correct, ni propaganda tu za kanisa! Ukweli unabaki...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wadau naona hii imekaa vizuri ili kuleta usawa kwa watu wote na wengine pia wasikie machungu wa haya MADUDU ya KIKWETE( Mmiliki wa UFISADI wote NCHI hii). "If Tanzania must pay ‘Dowans’ (through...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom