Redet: JK soma alama za nyakati Send to a friend Friday, 31 December 2010 20:48 0diggsdigg
Salim Said
MWENYEKITI Mwenza wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (Redet), Dk Benson...
Daniel Mjema
SAKATA la kutohojiwa kwa matokeo ya urais limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwa, Mahakama ilikwisha agiza kuundwa kwa sheria itakayoruhusu kuchunguzwa kwa matokeo hayo na...
Jamani mi katika pitapita yangu nimekutana na hii list ya documents ambayo ina majina ya watu na malipo waliyopata, namba za cheki walizoandikiwa, watu aliosamehewa kodi...etc.etc, hivi ni public...
Fredy Azzah
Leo tunauanza mwaka mpya wa 2011, ikiwa ni jana tu tumeupa kisogo mwaka 2010. Mwaka jana ulikuwa na matukio mengi ya kukumbukwa kama taifa. Miongoni mwake yapo ambayo ni makubwa...
Kweli Hili TAIFA Letu Linaongozwa na Wezi. Wanataka Kutuambia Leseni na Mikataba ya Nchi Inakuwa Saini na Makampuni Tusiyoyajua au Sisi Watanzania ni Wajinga Kiasi Gani? Mimi Binafsi Kufanya Kazi...
1. Dr masumbuka lamwai
2. Dr walid kabourou
3. Prince bagenda
4. Tomas ngawaiya
5. ...
.... Na wengine mtanisaidia jamani wako wapi mbona kimya kny siasa za bongo?
Share14
Benki kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la noti za shs 500, 1000, 2000, 10,000. Noti hizi zitaingizwa katika mzunguko tarehe 1 Januari 2011. Noti za zamani bado ni fedha halali na zina...
Ngeleja na giza lililomshinda Mkapa, Kikwete
Na Saed Kubenea - Imechapwa 29 December 2010
WAZIRI wa umeme, William Ngeleja ameomba kufutwa kazi. Asipofutwa na mtawala atafutwa na...
Nimekuwa nikienda kwenye meza za magazeti hapa UDSM kila mara naambiwa tz daima limeisha,yaani kila siku nalikosa!
Mie nilidhani ni kwamba linapendwa sana,ila leo nimeenda sehemu fulani pia...
Polisi Z`bar wayapiga stop maandamano ya waumini
Na Mwinyi Sadallah
30th December 2010
Jeshi la Polisi Zanzibar wamezuia maandamano ya kupinga kuvamiwa kwa zaidi ya ekari 10, mali ya...
Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara yaliyo tangazwa na rais Kikwete kuwa yatasherekewa nchi nzima kwa nderemo na vifijo, yana lengo la kuwapumbaza watanzania ili waamini kuwa CCM ya...
Kheri ya Mwaka Mpya..... na Habari za Mwaka jana JK, najua ulikuwa mwaka mgumu sana
ila Mwaka huu unaweza kuwa mgumu 3 times, lets wait kwa ugumu wa maisha wa
wananchi.
Ulipo ongea siku ileeeeeeee...
Heri ya Mwaka mpya wanaJF
Katika kipindi cha kesho: Mada ni majumuisho ya matukio muhimu ya kisiasa katika mwaka 2010. Tutagusia kuhusu Mageuzi ya Kisiasa Nchini, Nafasi ya Akinamama katika...
Katika uchaguzi mkuu uliopita kura yangu niliigawa kama ifuatavyo: Kura ya urais nilimpa mgombea wa CUF, Ibrahimu Lipumba kwa kuwa ninaamini ni bora kuliko wote. Kwa upande wa Ubunge nilimpa...
Hili suala ni kama vile limeshindwa kupata mwitikio sahihi, KWA BAHATI MBAYA SANA sijaweza kulisoma gazeti lililoripoti habari hiyo TZ DAIMA, mbali ya kuwa niliweza kulisikia likisomwa kwenye tv...
:yuck: Tangu 30.10.2010 siku ambayo watanzania walipiga kura mimi nimekuwa nafatilia matokeo na hoja mbalimbali kuhusu huo uchaguzi wa 2010.
Chama tawala cha CCM, kilionyesha dhahiri kuwa...
busara na hekima za dk slaa hakika ni mungu alimuongoza tofauti na hapo yangekuwa mengine hv leo, lakini tunamuombea maisha marefu kama no mipango ya mungu basi iko siku atakuwa raisi wa watanzania
Awali ya yote, kwa muda sasa nimejaribu sana kuangalia execution ya mamlaka na madaraka ya Rais na Waziri mkuu wa jamhuri kulingana na katiba ya sasa. Na kuna wakati nimeendelea kuona kwamba mara...
Wataalam wa Saikoljia watanisaidia pia, lakini ni ukweli kuwa miaka ya mwanzo ya malezi yako, 3 mpaka 15, humtengeneza binadamu, na ndiyo ina uwezekano mkubwa wa kuelezea binadamu atakuwa wa namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.