Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanajamvi nimesoma hotuba ya mkuu wa nchi, lakini nimestaajabu pale ye mwenyewe anapodai bado swala la matumizi makubwa linamsumbua, wakati huohuo yeye ndo amekuwa kinara wa matumizi mabaya, sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, jioni ya leo, Ijumaa, Desemba 31, 2010, atatoa salamu maalum za Mwaka Mpya kwa wananchi. Rais Kikwete atatoa salamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Jf. Leo nimekuwa mbali na vyombo vya habari kwa hiyo cjaweza kujua kama leo `Bw Mkubwa` atahutubia Taifa letu hili linalohitaji katiba Mpya na sio viraka kama anavyotaka muraaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili serikali iweze kuongoza vizuri inahitaji kuwa na wengi wa raia wake nyuma yake. Hivi sasa kila kona ya nchi hii kunasikika vilio vingi vikiilalamikia serikali iliyoko madarakani na chama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aliekuwa CEO bandidu wa bank ya Exim Mama Mwambenja Sabetha kapigwa chini effective tangu jana......japo wafanyakazi wameambiwa kuwa mama kaamua kustaafu lakini news za ndani inasemekana kapigwa...
0 Reactions
87 Replies
13K Views
EURONEWS, Shirika la habari lililo na nguvu na linaonekana dunia nzima kuanzia na Ulaya hadi America na Africa limekuwa likionyesha kila baada ya dakika kadhaa Maandamano ya CUF kudai Mabadiliko...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Pamoja na wizi ulikithiri serikalini katika kila idara bado serikali kupitia selina kombani bila hata aibu yoyote anasimama na kutuambia eti serikali haina pesa kwa ajili ya kugharamia uuandaaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni mwenye wasifu wa Mch. Luckson Mwanjale aniwekee jamvini. Ccm wanatumia nguvu sana kumpitisha kwa chaguzi 2 sasa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa utawala wa JK baadhi ya vyombo vya habari vilimpamba sana hadi kuonekana kuramba miguu yake; lakini, ilipofika mwisho wa muhula wake wa kwanza inaonekana ni kama vyombo vya habari...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Na Maggid Mjengwa, UKITAKA kumjua Mwafrika, basi, mwangalie siku anapohama. Ndivyo tulivyo. Hata kwenye uongozi, ni hivyo hivyo. Mwangalie kiongozi wa Afrika anapoingia na anapotoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CUF, Civic United Front keeps writing history while paving the way for full democratisation of my beloved country. There are some who hate it, but love them or loathe them, CUF will deliver this...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Wana JF nimejaribu kupitia ripoti mbalimbali za kuhusu uchaguzi wa Ivory Coast na ninapata mashaka kukubali media stories kwamba Outtara alishinda. Lakini pia napata tatizo la kuamina Gbagbo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu ni ukweli usipipngika kwani viongozi wengi wa Africa ni wachakachuaji wakubwa wa matokeo ya kura,na ndiyo maana hata laisi wenu kiweteee hawezi kumlaani Gbagbo, kwa sababu naye ni walewale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
inawezekana nikawa nyuma ya mabadilikob ya katiba na vipengele vya sheria hapa nchini.Ila kwa ufahamu wangu ni kwamba ukikiwa na tuhuma na kuthibitika mahakamani unakosa na hukumu ikatolwa kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa upande wangu haya ndiyo majeraha ya moyo niliyobaki nayo baada ya uchaguzi mkuu. Nadhani na wenzangu mnaweza kuniunga mkono kwa hili. Majeraha niliyoexperience ni kama ifuatavyo. Unaweza pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dedicated to the people of Tanzania, Raised people's self awareness, Raised his political party from bottom to second top, First person from opposition party to get more than 2mil. votes in a...
0 Reactions
86 Replies
6K Views
Siku nikipata bahati ya kukutana na hawa viumbe wawili nitawambia yafuatayo:- 1. Roho za wa Tanzania zinaumia na kuteketea kwa ajili ya tamaa yao. 2. Hawata ishi milele 3. Tumechoka kuibiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF, Kwa maoni yangu, tangu uhuru wa nchi hii, watanzania hawajashuhudia uongozi wa nchi ukiyumba na gharama za maisha zikipanda kwa kasi kubwa, kama ilivyo sasa. Kadri siku zinavyokwenda...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
WanaJF, Jana usiku kulikuwa na kipindi cha moja kwa moja cha mahojiano kilichorushwa na ITV. Mada ilihusu kupanda kwa bei ya umeme. Kuna jamaa mmoja hakusita kuelekeza lawama kwa serikali kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Send to a friend Friday, 31 December 2010 00:14 Salim Said MJADALA wa katiba sasa umeingia sura mpya baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Jaji Omar Makungu kutaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom