Wakuu nimepata tetesi kutoka e-group moja kwamba Chenge amhukumiwa miaka mitatu jela au faini ya 700,000 pesa ya tanzania (which is less that $500)
Je ni kweli? na kama ni kweli hii ina maana...
Wenyeviti, wanachama, wapiga debe na wawakilishi wa matawi ya CCM kule UK, Russia, na kule USA mmekuwa na kelele sana wakati wa uchaguzi na hasa baada ya Mkwere kushinda tena. Fine.
Mmmeitisha...
Picha sasa inaonyesha wazi kuwa Spika mstaafu Mh. Sitta aliondolewa uspika na CCM ili kujaribu kuruhusu ulipwaji wa Dowans ambayo ilirithi mkataba wa kampuni feki ya Richmond. Kwa vyovyote vile...
Tafadhali wana jamvi,hapa bkb tumeshindwa kufahamu bkb mjini ilipata sh.ngapi za mfuko wa jimbo.mbunge hasemi ila eti fedha alizopata ni kama tone kwenye ziwa.mwenye scandal za huyu mtu za binafsi...
CCM Rukwa yataka Kanisa litubu
Imeandikwa na Peti Siyame, Sumbawanga; Tarehe: 28th December 2010 @ 23:53
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, kimewataka baadhi ya viongozi wa Kanisa...
Ukiangalia Chanel ya CITIZEN ya Kenya huwa wana kipindi maalum huwa wanaonyesha watu wanaoshikilia uchumi wa Kenya kwa kuwa na vitega uchumi almost nchi nzima mfano ,mmojawapo ambaye Citizen...
Tutoe shinikizo kwa EU na USA kuwapiga mkwala wa kwenda ulaya na marekani viongozi wote wa CCM pamoja na familia zao kwa wizi wa kura. Haiwezekani watuibie kura halafu waende kujichana kwa pesa...
Kabla wapambe hamjaanza kumsakama SD kwa hii thread, naomba tu mfunge macho yenu, mkuze fikra zenu, mchore picha mawinguni, muuhisi mdhanio wa upepo mwanana wa bahari ukivuma tokea pwani ya Tanga...
GrEatThinkers,
Hukumu ya Chenge siitofautishi na ile ya Ditopile,
Kama ni Sinema basi hii ya Chenge Ni Ditopile Part 2.
Je Part 2 itaishaje??
Swali kwenu wana JF!
Mkoa wa Mara, ni jimbo lililojitenga?
Wiki chache zilizopita dunia nzima ilishuhudia unyama wa aina yake waliofanyiwa wasichana wadogo huko Mkoani Mara kwa kuwakeketa na kuwashuahia...
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ameonesha ujasiri mkubwa. Anajua matatizo ndani ya chama chake yanayoweza kupelekea chama chake kikapoteza hata kiti kimoja ilichonacho Kigoma.
Amejitokeza wazi...
Kwenye taarifa za gazeti la guardian uk zilizonokuu na kuchambua taarifa zilizovujja kupitia wikileaks wanasema Tanzania haina Air force .
...................Tanzania, which has no air...
Nimekuwa natatizwa sana na hili neno pindi linapotumika katika ulingo wa siasa hasa katika vyama.Vyama vinavyofanya kazi ya kuikosoa serikali vinaitwa vyama vya upinzani.Mi naona litafutwe jina...
Israel's former President Moshe Katsav has been convicted of rape by a court in Tel Aviv and could go to jail.
He was found guilty of raping an employee in the 1990s when he was tourism...
WanaJF bado najiuliza kinachoendelea kwa vyombo vya IPP( ITV na Radio one etc) vya mzee mengi. Muda mrefu mzee huyu amekuwa akipambana na mafisadi lakina sasa naona wanatokea mlango wa nyuma na...
Wabunge wa chama pinzani walipomsusa mkwere na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kule Dodoma, watu wa UDOM kwa haraka militoa tamko na kulaani kitendo hicho. Fine.
Now, tunaomba tamko lenu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.