Wadadisi wengi wa habari niliozungumza nao, wanatafsiri kitendo cha baadhi ya viongozi waandamizi serikalini, kutamka wazi hata kabla ya mahakama kuu kuridhia, kwamba serikali haina budi kuilipa...
CCM ikubali kushindwa
TANGU kumalizika kwa uchaguzi mkuu nchini matukio mengi yametokea ikiwa ni mwendelezo na utamaduni uliozoeleka kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini katika mabavu.
Kama...
mojawapo wa suala nililo liona lina mapungufu katika hotuba ya kumaliza mwaka 2010 na kukaribisha mwaka 2011, swala la umeme na utatuzi wake. moja ya mapungufu aliye ongelea yeye mwenyewe...
JAMANI KWA WALE TUNAOFUATILIA HISTORIA YA TANZANIA TUNAFAHAMU ZANZIBAR ILIPATA UHURU MWAKA 1963 CHINI YA WAZIRI MKUU MOHAMED SHAMTE SASA IWEJE LEO HII TUMSAHAU SHAMTE KIRAHISI TU WAKATI YEYE NDIYE...
Nchi inaendelea kuuzwa.
Video - Breaking News Videos from CNN.com
Swali langu ni kwamba, kwanini kulima bonde la mto rufiji lazima waje wageni kutufundisha kulima? Hivi kwanini tuna chuo kama...
MBUNGE wa Bumbuli, January Makamba, ameguswa na hotuba ya Rais Kikwete ya Mwaka Mpya na kumpongeza kwa kuunda Tume ya Maalumu ya Katiba, huku akisema wanaodai mfumo wa kuunda Tume kukusanya...
Rais wa Malawi, Bingu Mutharika, Ijumaa iliyopita alizindua kaburi la kifahari la aina ya jumba la taj Mahal lililopo India.
Sherehe hizo zilisusiwa na Makamu wa Raisi wa nchi, Speaker...
Hii imenipa moyo kwamba sasa Chadema imeanza kuelewa siasa ,kwani siasa sio vita ni mbinu na mikakati iliyokomaa kimipango,hili la kutoelekea mahakamani ni mwanzo wa kuonyesha kutokuwa na imani na...
Wht comment do u have about these stastitics, analysis and information reagrding Tanzania Profile. Nimekutana nazo hapa Tanzania Information and Online Map - Map Town Ltd.
Background...
Farm located at Kigamboni Potea 52 Km from Ferry.
Not affected by Kigamboni master plan i.e the last expected developed area is Kimbiji which is 16 Km from the farm location.
Farm size is 26...
Nchi yetu yenu utajiri wa kila aina ilianza kupoteza mwelekeo kipindi cha mwinyi kukubali wahindi wengi kuwekeza tz'rushwa ilitawala sana kipindi hiko'swali mke wa mwingne wa mwinyi yuko wapi eti...
MBUNGE wa Viti Maalumu wa CUF, Clara Mwatuka, amejitolea kusomesha kidato cha kwanza hadi cha nne watoto 20 kutoka kata 34 za wilayani hapa kuanzia mwaka huu.
Kwa kata hizo 34 za wilaya ya...
SIKU chache baada ya kupiga marufuku ujenzi eneo la Mombasa kwa Mchina nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa amri ya kuvunjwa nyumba zote zilizojengwa eneo...
Nikiwa katika kipindi hiki cha Noeli kama wengine wasemavbyo nilibahatika kupita katika jiji la Mbeya, nilivutiwa kutembelea jiji hili kwani niliwahi kuishi huko miaka ya 80.
Kubwa lililonitatiza...
POLITICAL CONDITIONS
Tanzania held its fourth multi-party general elections on October 31, 2010. The ruling CCM party faced its most serious competition in the multi-party era. President Kikwete...
Sisi wakazi wa Bunju beach maeneo yaliyopimwa na Serikali Mradi wa Viwanja Elfu Ishirini(20,000.00) tulipokuwa tunachukua form pale Mwananyamala tuliambiwa kuwa kuanza Mradi wa Viwanja vipya vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.