Jamani tuache blablaa..................Kikwete ndiyo chimbuko la ufisadi hapa nchini na ushahidi upo wa wazi kabisa..........Hivyo haiwezekani kila siku ni wadogo zake tu ndiyo wanawajibika na...
Wadau hebu anglieni hii kesi ya Kina dowans, kutokea hapa itakuwa rahisi ku-access file za kesi hii na kujua wamiliki halali wa dowans... mwenye data zaidi weka hapa
Dowans Holdings S.A. et al...
Like many other fellow citizens,I received a string of sms on my mobile in the last week of the ended campaign, such as follows; 1)."Slaa ni mropokaji na mgomvi anatukana vyombo vya ulinzi na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema ametangaza kusitisha maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendelieo CHADEMA yaliyokua yaongozwe na FREEMAN MBOWE na DR WILBROAD SLAA kwa kile...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Kariakoo Kaskazini, Kata ya Kariakoo, kimeandaa sherehe ya kumpongeza Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba kwa uongozi wake uliotukuka ndani ya chama hicho...
According to East Africa la leo ambalo lina kichwa cha habari kinachosema hivi:
Some two years ago, Tanzanian investors interested in buying into the massive initial public offering of Kenya's...
Wadau, sina taarifa za ndani sana kuhusiana na uchunguzi au uhakiki wa misimamo/mitazamo au imani binafsi za walinzi mbalimbali wa viongozi wetu, whether toka TISS or wherever.....historia...
Rais Ben Mkapa huwaita "hawa wote kokoto tu". (namsamehe kwa kuwa alikuwa amekula Valuu).
Lakini kama CCM watasimamisha mgombea Mkristo 2015, isitarajie kushinda maana Waislamu kupitia nyumba...
unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna...
Jaji anayeusika na idara hiyo amekiri mbele ya waandishi wa habari leo kuwa ofisi yake haina uwezo wa kumshitaki kiongozi yeyetoe mwenye mali lukuki kwa njiya zisizojulikana.
SASA huyu jaji...
Jamani katika hali ya kushangaza leo nimeota ndoto dr slaa kawa rais 2015 afu kamteua rev mtikila kuwa waziri mkuu, afu mwakyembe waziri wa sheria, magufuli waziri wa maadili na utawala bora...
Nimefatilia kwa makini hotuba ya Mh Kikwete kwenye salaam za mwaka mpya, dhahiri suala la katiba mpya si suala la serikali wala chama anachokiongoza. Nimemuona akitamka bila kuwa na hisia toka...
Na Sammy Kisika, Sumbawanga
WAZIRI Mkuu, Bw. Mizengo Pinda amewaomba radhi viongozi wa dini hasa Kanisa Katoliki kutokana na kitendo cha baadhi ya wafuasi na wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wakati Hoseah anaogopa vigogo, TAKUKURU ya Kenya yaburuza mawaziri kortini
Hapa Tanzania, mawaziri wa Kikwete wanalazimishwa kwa mbinde kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi (eg Edward Lowassa, Andrew...
Umeme ni independent function.
Ukipandisha bei ya umeme kama serikali yetu ya kifisadi ilivyofanya yafuatayo hayaepukiki:
Wenye vituo vya mafuta wanatoa huduma kwa kutumia vifaa kwa umeme...
Maana kwa jinsi mentality za JF zilivyo basi huyu naye ataonekana ni ********* na anauhusiano wa karibu na ROSTAM na tatu he's another Johny Foreigner sasa kwa kawaida bila ya haya ushaidi ana fit...
..... Wale wanaojaribu kukwepa mjadala wa kina juu ya muundo wa Muungano siku zote hutumia hoja kwamba eti hakuna Serikali ya Tanganyika na hivyo isingewezekana kufanya mazungumzo kati ya Serikali...
Nimekaa chini nikawaza na kutafakari kwa kina siasa za Tanzania nikagundua kitu kimoja.Nchini Tanzania kuna wanasiasa vijana wanaokuja juu sana,nyota zao zinaanza kung'ara na naamini wataikomboa...
Tangu Nyerere aondoke madarakani, viongozi wetu waliomfuata wamekuwa hawana uchungu na nchi yao. Mwinyi alifungua kopo kwa kusema kila mtu ruksa kula mezani kwake. Baad ya mwinyi akaja mkapa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.