Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuindi la FFU toka Ukonga limeondoka usiku huu na vifaa na magari kwenda Arusha
0 Reactions
28 Replies
5K Views
mfano mbunge wa tarime kapanga na makazi yake yako dar es salaam je inakuaje muda wake wote ameishi dar alafu apate ubunge tarime, ni kitu gani huwa kinatokea kwa wananchi wanao amua kumpa kura...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Living in the era of chronic graft and unaccountability; a COUP is a fair Option I woke up this morning to hear a very depressing and demoralizing news that the highly known clique of...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
MPIGAPICHA wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Josias Charanga ameshambuliwa na kuporwa kamera yake na Ofisa Usalama wa Taifa wakati akipiga picha maandamano ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya tuliyashuhudia wakati wa utawala wa Makaburu wa Afrika Kusini. Je, Kikwete anataka kuvunja rekodi ya kaburu Voster ? Ataua wangapi to quench his thirst for Tanzanian blood ?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wana Jf naomba kujua utaratibu wa kujiunga na CCM I mean CHAMA CHA MAPINDUNZI. Mwenye kujua tafadhali naomba anijuvye
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu Wazalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nimesikitishwa sana na Tukio la Arusha , Ambapo Polisi wa Kutuliza Ghasia walitumia Nguvu Kujaribu kuwaondosha Wananchi wa Arusha waliokuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni bahati mbaya sana kuwa viongozi wetu wa jeshi la polisi pengine wakiagizwa na wakuu wa dola wamekuwa na mtazamo finyu na wa kidikteta katika kushughulikia maswala ya usalma wa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa za wabunge wa chadema kutoka nje wakati rais wa Jamhuri alivyoanza kuhutubia, siku ile alipofungua bunge, zilisambaa kwa kasi dunia nzima kwasababu siku ile katika ukumbi wa mbunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa 2010 (ya Rais) bado hajaainishwa na NEC katika tuvuti yao miezi miwili tangu uchaguzi uishe. Sababu? Mara mtandao wa computer hauna uwezo, mara sikuku hizi, mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
waziri wa ujenzi dr.pombe magufuli amepiga marufuku uwekaji wa matuta katika barabara kuu.amesema kwamba katika sheria ameapa kuzitumia hajaona mahali palipoandikwa kwamba wakandarasi waweke...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Bango lililoshikwa na waandamanaji limeandikwa kwa maandishi makubwa kabisa KWA AMANI na wakati huo polisi wakitumia silaha kali kuzima haki ya wananchi kidemokrasia ni ushahidi wazi wa jinsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia taarifa zote za habari kuanzia TBC1, ITV na CHANNEL 10 picha za maandamano ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA zimenisikitisha sana hasa baada ya kutafakari, iwapo wangeachwa waandamane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wazalendo, Kwa mara ya kwanza nilimuona Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, JK, nchi Marekani miaka mitano iliyopita katika mkutano wa waTanzania waishio Marekani ya kaskazini...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wednesday, 05 January 2011 21:55 dig By Zephania Ubwani The Citizen Bureau Chief Arusha. The Leader of the Official Opposition in Parliament, Mr Freeman Mbowe, was among four Chadema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanasiasa wachache wenye maslahi yao wataendelea kuwatumia wapumbavu wachache ili kutimiza malengo yao ya kijinga, ninawaambia pamoja na kujiambia mwenyewe hapa ndugu zangu: TUSIMWAMINI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha kwanza article hii: The International Chamber of Commerce (ICC) has ordered Tanzania Electricity Supply Company (Tanesco) to pay Dowans Holdings SA and Dowans Tanzania Limited...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania, kama mnakumbuka CHADEMA walitaka kuandamana siku fulani huko nyuma baada ya uchaguzi wa meya wa Arusha wakidai kuwa uchaguzi ule haukuwa halali! Kwa mtu mwenye kufuatilia mambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu mwanajf soma habari hii inayomhusu rostam azizi na pengine utagundu kumbe matukio mnayoyaona ya; 1. Wizi wa Bot 2. Richmond na Dowans 3. Kagoda 4. Kupanda umeme 5. Mdawa ya kulevya 6...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom