Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sina hakika tatizo ni nini! Kutaja mmiliki wa kampuni imeshindikana? Tatizo ni lipi hasa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
OMBI KWA VIONGZOZI WA CHADEMA AMBAO HAMJAKAMATWA, WANANCHI TUNASUBIRI NINI TUFANYE Wananchi tulio wengi tunasubiria angalizo la nini tufanye ili kuionyesha CCM na Vibaraka wao kuwa tunauchungu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama kuna mtu ameliona Gazeti la the Citizen leo kuna picha inaonyesha jinsi fiancee wa Dk Slaa soaking in blood baada ya kupigwa na polisi najiuliza huyu mama naye kakosa nini kiasi cha kupigwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia yaliyotokea katika Uchaguzi mkuu uliofanyika 2010 na muendelezo wa mambo au vituko vinavyoendelea baada ya Uchaguzi, baada ya tukio la Jana Arusha nimejikuta nikijikumbusha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kilio nalia mbele ya watz wenzangu kukuambia wewe ambaye ni rais wangu afu ni baba yangu hivi kwa nini husikii watu wakiishauri familia yetu na taifa letu kwa ujumla kwa nini wewe baba unakaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa kwa muda mrefu sasa mpenzi wa Jamiiforums na kujifunza mengi katika jukwaa hili. Hivyo nimeamua kujiunga rasmi ili niweza kujifunza na kushiriki katika mambo mbalimbali yanayojadiliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania tunajuta kwa vile tuliyataka wenyewe! Sasa dawa iliyopo ambayo haihitaji polisi kupiga watu risasi ni migomo ya nchi nzima. Wafanyakazi mko wapi? Wanafunzi wa vyuo mko wapi? AMKENI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
YouTube - Price of water in Dar es Salaam Wakati mwingine ni vema kutoa compliments kwa waliofanya utafiti kuhusu bei ya maji, kuliko kuibeba kama ajenda binafsi. Tatizo ambalo Mnyika analiibua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kinachoendelea Mjini Arusha kinatia uchungu na simanzi kubwa. Pamoja na mapungufu yake makubwa, katiba yetu ipo wazi kuhusu haki ya wananchi ya kuonyesha hisia zao kwa uhuru bila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Send to a friend Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema Hassan Mohamed WAHENGA walisema aliyeumwa na nyoka huogopa hata mjusi. Siku chache baada ya Serikali kutoa agizo kwa Mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana moto uliwaka mjini arusha baada ya polisi kuvamia maandamano ya chadema na kutumia nguvu katika kuzuia maandamano hayo. Kilicho nishangaza ni kitendo cha polisi kupiga hadi watu waliokua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
From heavsdrops,media n the individuals,I hereby call upon mr Ocampo to get airticket to Tanzania so as to collect more job deals of his business. What goes on in Arusha seem to employ you more...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mi nashangaa sana jamaa kachakachua, vitu ambavyo havichakachuliki, wananchi wenyewe wamesema hawamtaki, sasa yeye atashirikiana nanani? mbona anakuwa kama chizi, wewe kama unataka kuwatumikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi hoja yangu je Said Mwema baada ya kutoa tamko alitoa barua ya maandishi kupinga na kama hakuna na tayari chadema walikuwa na barua kulingana na maelezo ya Dr Slaa. Kulikuwa na haja ya Askari...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Jeshi la Polisi sasa linaipeleka nchi pabaya Send to a friend Wednesday, 05 January 2011 20:37 0diggsdigg Kwa mara nyingine katika kipindi cha wiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Dr Magufuli aagiza makandarasi kukamatwa Na John Maduhu Mwanza Waziri wa Ujenzi,Dr John Magufuli ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kuwaweka ndani mkandarasi wazembe wanaopewa kazi na...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amesema gharama kubwa ya ujenzi wa barabara ya lami kwa kilometa moja ni changamoto kwa serikali kwani inazidi hata viwango vya Jumuiya ya Afrika Mashariki...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
The whole government of the United Republic of Tanzania to resign with immediate effect. We cannot wait untill 2015, we the employers of the current government. The current government, at all...
0 Reactions
7 Replies
938 Views
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais kwa kawaida ndiye kiongozi hasa anayetazamwa kudumisha amani katika nchi yoyote ile. Kwa Bahati mbaya rais kikwete na CCM wanaonekana kuwa ndio watakuwa wakwanza kuvuruga amani nchini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom