Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
'' "You will be amazed when you visit Kariakoo these days… people from Congo, Uganda, Rwanda Burundi and other countries get their goods from Dar es salaam, which means there is a ready...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF, ni kipindi sasa tangu Mh Rais alipotoa salamu za mwaka mpya, napenda kuchukua fursa hii kumpongeza kwa hotuba nzuri lakini iliyokuwa na mapungufu kadhaa ambayo kwa tafsiri...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mheshimiwa RPC Salaam. Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha. Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha...
0 Reactions
93 Replies
8K Views
Ni kiongozi gani hapa kwetu Africa atakae weza kuweka Upresdent wake pembeni na kua kama kiongozi huyu mkubwa duniani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani mpaka sasa watanzania tutakuwa tumejua ukweli kuhusu nani ni mpinzani wa kweli kati ya cdm na cuf. Maandamano ya CUF hayakuwa na kibali chochote, but yalifanyika na polisi waliyasindikiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh Rais ! Kwa umakini wako wa kufuatilia mambo najua utapata ujumbe huu. Hata kama ni kinyume chake wasaidizi wako watakufikishia ujumbe huu. Kama hawatakufikishia basi Roho wa Mungu atakuongoza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mhariri wa Gazeti la Habari Leo Umepata aibu ya Mwaka, Unatakiwa wewe mwenyewe Ujiuzulu au SERIKALI ikuondoe hapo ulipo. Ulishabikia sana Kanisa Katoliki pale ambapo lilipoonyesha Msimamo wake wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hatimae serikali yatangaza wamiliki wa Dowans na kutoa ufafanuzi wa fedha wanazostaili. Sorce:Radio one sterio MY TAKE Serikali ya CCM iko determined kujilipa izi hela licha ya kerere zote hizi...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wana jf nimekuwa nikifikiria sana kama kuna uwezekano tanzania kuwe na utawala wa majimbo kama sera ya chadema ilivyokuwa inanadi labda maendeleo tutayaona kwa mfano: Iringa, njoruma, mbeya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mitambo Dowans bado ya Richmond *Rostam Aziz atajwa hukumu ya ICC Na Mwandishi Wetu WAKATI serikali ikisubiriwa kutoa msimamo kama ama italipa sh. bilioni 185 kama tuzo kwa Kampuni ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ujumbe huu nimetumiwa na rafiki yangu aishie nanyumbu,mkoani mtwara.Hebu upateni na nyinyi....'petrol bado bei juu,umeme hali kadhalika.kodi ya duka juu,kodi za nyumba balaa;mchele,nyama...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Wana jf wkt ccj kinazinduliwa walisema ni cha vigogo wa ccm sasa imekuwaje maana sizioni harakati zozote za kukitangaza na kuomba upya usajili kwa masili wa vyama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
polisi mkoani arusha imefunga barabara ya arusha moshi kuwazuia wanachi na wakereketwa wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro ambao wanaingia mjini arusha kushinikiza kuachiwa kwa viongozi wao...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Send to a friend Rais Jakaya Mrisho Kikwete Wakati Rais Jakaya Kikwete akiendelea kupongezwa na wananchi wengi katika kila kona ya nchi yetu kutokana na uamuzi wa kijasiri wa serikali yake...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kutokana vifo vilivyotokea huko arusha nafikiri ingekuwa ni busara hao wote watajwa hapo juu wangejiuzuru nyadhifa zao halafu wakachukuliwa hatua za kisheria kutokana na kumwaga damu za watu wasio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....poleni watu wa Arusha na Watanzania kwa ujumla...ninachoshangaa mbona hawa police mateso yetu ndo yao?inakuaje tunaanza kuuana ndugu kwa tofauti ya mavazi tu?...sijui kwenye mazishi kama hawa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
My wish chadema wakifika kwa Ocampo waende na picha za channel ten!!! kwi kwi kwi hawa polisi wetu vipi???????????????????????????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lwakatare, Silinde wapigwa ‘stop’ na polisi na Moses Ng'wat, Mbeya MBUNGE wa jimbo la Mbozi Magharibi, David Silinde...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1963 UN Speech Prime Minister Muhammed Shamte Hamad (as Head of Government of the independent and Sovereign State of Zanzibar) delivered the following historic speech on the historic day of...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Back
Top Bottom