Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Vurugu zilizosababishwa na Polisi katika Jiji la Arusha tarehe 5 Januari, 2011, kwa kweli zimeleta athari katika biashara ya utalii. Inawezekana alipohamishwa Arusha hakupata maelekezo ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema ametishwa na hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara (ICC), iliyoipa ushindi Kampuni ya Dowans...
0 Reactions
266 Replies
23K Views
ndugu hali ni mbaya sana mount meru hospitali kwani wamelazwa watu 42 ambao walipigwa risasi na polisi na huenda vifo vikaongezeka wakati wowote.Nawaambia ukifika hospitali utalia kwani wengine...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Kwa kamanda wa polisi kukiri kuwa maandamano ya Chadema Arusha yaliruhusiwa. Nakwasababu nyepesi nyepesi eti chadema hawakuconfirm njia watakazo piata ni ujinga na aibu kwa hiki chombo. Karne...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wandugu natafakari kama TZ inastahili kuitwa a peaceful country kama ilivyokuwa hapo awali. Kwanini tunaiita nchi ya amani wakati damu za watu wasio na hatia ikiendelea kumwagika?tumesikia Arusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Tangu Raia wema wa Arusha waanze kudai haki yao jana asubuhi na kupelekea viongozi kadhaa wa juu wa chama hicho kuswekwa ndani sijamsikia Zitto Kabwe akiongea chochote, je yuko...
0 Reactions
132 Replies
13K Views
Nahodha: Vurugu ArushaKatika hatua nyingine Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha amesema vurugu zilizotokea Arusha juzi ni tatizo la kisiasa ambalo pia litapaswa kushughulikiwa kisiasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninayoheshima kubwa kwa marehemu waliouwawa na Jeshi la CCM kwa lengo la kumlinda kiongozi dhaifu. Damu yao na iwe chachu na izae matunda yatakayoleta Uhuru kamili. Tuwaenzi kwa kuendeleza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mahojiano yaliyofanyika leo na Magic Fm, Kamanda wa polisi arusha amekiri kuwa maanadamo yaliruhusiwa na walikaa kikao na viongozi wa CDM kupanga njia yatakayopitia. Anasema kasoro ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimem-miss sana. Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona. Yuko wapi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata habari ambazo sio za kudhibitisha ya kuwa mmoja wa wapambanaji mahiri wa Chadema Waitara ni miongoni ya waliopoteza maisha. Tunaomba wenye habari zaidi watueleze. Cha kushangaza niliona...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Sioni Haja ya kuwa na Rais asiyekuwa na Busara wala hekima katika maamuzi yake kama JK na viongozi wenzie waiosi na hekima kama yeye JK. Hivi kwa staili hii ndio mnasema kuwa kutakuwa na maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi Tukumbuke Kwamba Jk na Viongozi Wake Wote Aliowateua Wanataka Kubaki Maofisini Milele. Kitu Kilicho Mfanya JK Kumweleza Mwema Awapige Wananchi Risasi ni Nini? Hao Vijana Wakiandamana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali imetaja wamiliki wa Dowans na kisha kufafanua namna mgawo wao wa fedha utakavyokuwa. Kwa taarifa zaidi subiri magazeti ama nenda THE GUARDIAN WEBSITE
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wananchi Mpaka Sasa Tumeona Jinsi Gani CCM Wanaogopa Maandamano na Mikutano ya Sisi Wananchi. Kuna Vitu Vingi Sana Vinawasumbua CCM kwa Sasa na Moja Wapo ni Tishio Kubwa "MAANDAMANO" Viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Du raia lau masha yu wapi cku hizi?? Nilishamsahau ze comedy wametangaza bro kafulia ni kweli?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamii, nilikua na waza kidogo ni nani wa kuwajibika hususani mauaji yaliyofanyika Arusha. Nimegundua IGP mwema ndio mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya Arusha pamoja na majeruhi. Hii ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Thursday, 06 January 2011 20:55 Source Mwananchi Waandishi Wetu UMATI wa wakazi wa mkoa wa Arusha na maeneo ya jirani, jana ulifurika katika Viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Amesema serikali inakiuka haki za binadamu kukandamiza uhuru wa wananchi kuandamana. Source: VoA leo saa 1:30 usiku
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom