serikali imeonyesha hofu tayari,inataka malipo ya kampuni la kitapeli la dowans yafanyike haraka na tena ikiwezekana kabla ya bunge la february,waziri ngeleja anasisitiza ni lazima malipo...
Zamani nilijivunia kuwa Mtanzania, lakini sasa navumilia kuwa Mtanzania. Kila kukicha, aheri ya jana. Mkombozi wa taifa hili atatoka wapi? Yuko wapi mkombozi.....aliye tayari kusulubiwa kwa ajili...
Hali ya mtafaruku niliouona Jana Arusha kwa macho yangu huku waathirika wa mabomu ya kutoa machozi wakishindwa kuhimili kasheshe hiyo, wakati umefika kwa viongozi wa CDM kutuma ujumbe maalum huko...
Mimi ni mdau mkubwa wa gazeti la Mwananchi. Gazeti hili limetokea kupendwa sana kutokana na kuandika habari zinazoigusa serikali moja kwa moja.
Ninadiriki kusema kuwa wanaharibu kwani wanatoa...
Mchana huu RPC wa Arusha, Naibu DCI na Kamishna wa operation wameongea na waandishi wa habari na kusema hawakukosea kuvuruga maandamano ya CHADEMA eti kwa sababu kama yangeachwa yangeleta maafa...
Mwema ametumika kisiasa-Lipumba
Na Rabia Bakari
Majira
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba ambaye alisema kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Jenerali...
Kutangazwa kwa majina ya wamiliki wa Dowans na Waziri wa Nishati na Madini ambapo majina hayo yanajumuisha wafanyabiashara kutoka Singapore, India na UAE ni ushahidi tosha kuwa safari ya Rostam...
MAPAMBANO makali kati ya Polisi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaliyotokea juzi na jana mkoani Arusha yameleta mshtuko mkubwa kitaifa, hata kuilazimisha serikali...
Hainiingii akili kwa hali niliyoiona na kusikia yaliyotokea Arusha mpaka damu imemwagika ntashangaa kumsikia mtu akizungumzia POLICE JAMII.Je hao police wanaotaka kushirikiana na Jamii ni jamii...
Nimeangalia TV na picha mbali mbali hapa JF na nimegundua katika purukushani ya Polisi na wananchi waliokuwa wakiandamana kwa amani Arusha, polisi walikuwa na zana za kivita wakati hakuna wananchi...
niliona video footage ya tukio la arusha ambapo anaonekana askari akitumia kirungu kuvunja kioo cha gari kwa kukipiga si mara moja, bali mara mbili, tatu na zaidi mpaka dereva alipoamua kuondosha...
Kesi ya Mpesya dhidi ya `Sugu` kusikilizwa Januari 19
Wanasheria naomba mtusaidie, maana kwa hoja hizo tatu na eti ndiyo kuu kuna kesi hapa????
Mahakama Kuu ya Tanzania...
Hi everyone; I'm back, wounded and limping but still kicking LOL. Numerous trips I have made since I reported to you about the then pending ITV saga. With some of my "little ones" we were able to...
Wana JF,
yaliyotokea juzi huko Arusha yanasikitisha, kuuzunisha na kutia uchungu sana; ikiwezekana volunteering lawyers yeyote au chadema lawyers basi mu-seek attention ya haya mauaji ya wananchi...
Mipango ya kuuliwa Watanzania wafuasi wa Chadema ilikuwa nimipango malumu ya Serekali ya Kikwete kupitia ilani ya chama chake wasema Chadema.
Viongozi wa ngazi za juu za chadema wamenukuliwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia Mh. Shamsi Vuai Nahodha akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao Mkuu ya Wizara hiyo jijini Dar es salaam mchana huu kuhusiana na vurugu...
To all real freedom fighters,
haya yanayotokea Arusha ni ushahidi tosha kuwa mabadiloko yanakuja nchi kwetu, True freedom real Independence is coming.
Tukirejea historia inaonyesha kuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.