Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WanaJF nimeongea na mdau mmoja wa Arusha anasema katika zile vurugu za Arusha kuna jamaa alimchoma visu police officer na kumuua lakini police Arusha wanafanya kila wawezalo kufunika hiyo ishu...
0 Reactions
80 Replies
10K Views
CHADEMA yagomea mazungumzo na CCM • Polisi waua Mkenya, ‘waharibu mimba’ ya mtu na Ramadhani Siwayombe KATIKA kujibu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mara nyingi ili mafanikio yawepo lazima kuwe na combination(pacha). Mfano, enzi za urais wa Nyerere, sera na mawazo ya mawaziri wake wote wakuu yalikuwa kwa kiwango kikubwa yanafanana. Nyerere...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Muda huu kupitia Redio Clouds Redio Clouds RPC wa Arusha Andengenye anatangaza kuwa Mkutano uliopangwa kufanywa na CDM Arusha si halali maana walitoa taarifa jana saa 4 asubuhi, na yanatakiwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jaman huyu afande mbona hasikiki tena baada ya kukutwa hana hatia kwa kesi ya mauaji? Sijui sheria za jeshi zinasemaje. Mjuvi atoe taarifa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wako tayari kuua ili kulinda maslahi yao, wamesababisha vifo vya watu wasio na hatia kama huyu ndugu kwa kulazimisha kanuni zikiukwe, still hata baada ya mauaji kutokea hawaonyeshi kushtushwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpaka sasa jumla ya megawati 880 za umeme zinazalishwa tanzania wakati demand ya umeme tanzania ni zaidi ya megawati 1000, jana nyarandu anasema wanaendelea na mchakato wa kuwavuta wawekezaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, Yafuatayo yalipata kutamkwa na Mh. Harrison Mwakyembe; "MOJA ya sifa kuu za nchi za kipato cha kati ni kilimo cha kisasa na maendeleo ya kati ya viwanda, shughuli ambazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Polisi imeua raia mmoja wa Kenya Ndugu Paul Njuguna Kaiyehe (Polisi walitumia jina la uongo kuficha uraia wake - George Mwita Waitara). Huyu ndugu ni raia wa Kenya kwa uthibitisho wa balozi mdogo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba iwekwe hapa orodha ya madiwani, wale wa kuchaguliwa na viti maalumu jijini Arusha. Na wanaoingia katika baraza kwa tiketi za ubunge. Idadi ya madiwani na uwiano wao kwa kila chama. Lengo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu wengi wanajiuliza kwa nini CHADEMA wakubaliwe kufanya mkutano na maandamano na kisha zikiwa muda mfupi kabla ya tukio anaingia IGP kukataza maandamano? Kuna tetesi kuwa walijua wazi kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nchi yetu kwa sasa imekuwa kawaida kwa kuto kufaata sheria. Ukianzia kwa mabasi. Basi likikamatwa ni unyanyasaji. Ukikamatwa kwa kutupa taka ni unyanyasaji. Ukidaiwa kodi na TRA ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeangalia TBC 1 leo usiku saa 2:00pm tarehe 7/01/2011 kwakweli mimi ni mtanzania na pia namjua raisi niliye mchagua mwaka 2005/sio mwaka 2011! lakini kwa sura niliyoiona ya JK kweli kabisa hana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukisoma Jinsi Gani Makampuni Hewa na Maafa Yake Katika Nchi Zetu za Africa Unaweza Ukaumia Vibaya na Haya Mateso. Kama Kuna Wananchi Wanafuatilia Kilicho Tokea Nigeria Miaka ya Hivi Karibuni, Soma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 7th January 2011 DAIKY NEWS THE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has dismissed pleas from the Home Affairs Minister, Mr Shamsi Vuai-Nahodha, who wants peace...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unaweza kutazama Kama uko karibu na tv
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Kutoka Hospitali ya Mount Meru Arusha ni Kwamba Baadhi ya Waliojeruhiwa Bado Wana Risasi Mwilini na Wamepewa Dawa za Kutulliza Maumivu. Mwanamke Mmoja Amepoteza Mimba kwa Kupigwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na Bakari Kimwanga WAFANYAKAZI wa shirika la umeme nchini (TANESCO) wameitaka serikali na viongozi wa kisiasa kuacha kuingiza maamuzi yao ya kisiasa ndani ya shirika hilo kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri mwenye dhamana ya mauaji,Shamsi V. Nahodha,ametoa kauli ambayo yeye mwenyewe anaonekana haelewi anachosema. Nahodha alisema vurugu za Arusha ni ugomvi wa kisiasa hivyo utasuruhishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom